figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ok.Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Katuga anatumika na WAHUNI ,hizi mahakama za simu moja dawa yake ni KATIBA mpya ,tupate majaji ambao hawateuliwi na WAHUNI.Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza utetezi na ushahidi wa pande zote mbili baina na Jamhuri vs Tundu Lissu, Jaji Ndunguru amesema "tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka."
Amesmea kwamba Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Hivyo Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
Anaenda kuvaa hii
Katiba mpya au Katiba nzuri?Katuga anatumika na WAHUNI ,hizi mahakama za simu moja dawa yake ni KATIBA mpya ,tupate majaji ambao hawateuliwi na WAHUNI.
Karma itaongea kabla 2030Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza utetezi na ushahidi wa pande zote mbili baina na Jamhuri vs Tundu Lissu, Jaji Ndunguru amesema "tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka."
Amesmea kwamba Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Hivyo Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
Katiba Nzuri ya WARIOBA.Katiba mpya au Katiba nzuri?
Katiba inaweza kuwa mpya lakin ya kissenge.
Itanyesha mvua kubwa sana hiyo siku! Wingu jeupe litashuka!Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza utetezi na ushahidi wa pande zote mbili baina na Jamhuri vs Tundu Lissu, Jaji Ndunguru amesema "tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka."
Amesmea kwamba Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Hivyo Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
Nasikia atapewa kesi ya kujibu alafu ikipangwa tarehe ndio dpp ataitumbilia mbali ili serikali ionekane haikushindwa kesi na lisuu atakata rufaa alafu serikal ndio imlipe alafu wagawane mlungula 😄😄Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza utetezi na ushahidi wa pande zote mbili baina na Jamhuri vs Tundu Lissu, Jaji Ndunguru amesema "tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka."
Amesmea kwamba Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Hivyo Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
Mmmh yani otoba 29........!!?? Kichekesho kingine hikiWanajipanga na kusoma upepo baada ya watu walichokipanga October 29 mwaka huu ndio waje na uamuzi.
Sioni sababu ya kuvuta siku zote hizo kutoa kiitwacho hukumu kwa hiki kihoja kiitwacho uhaini wakati uhalisia hata wao wanajua sio uhaini.
Akili Unde itatengeneza maajabu kweli. Na bado kabisa. Huu ni mwanzo tu!
Akili mnemba inaenda kuvunja ndoa zetu soonerAkili Unde itatengeneza maajabu kweli. Na bado kabisa. Huu ni mwanzo tu!
Yasichelewe.Kuna matukio ya ajabu yataibuka hapa katikati Hadi 06 November ambayo yatamtikisa Samia na serikali yake