Huku ya Tundu Lissu ni tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi

Akili mnemba inaenda kuvunja ndoa zetu sooner
Ndoa?
Mbona hilo jambo jepesi kabisa.
Hii kitu inaweza kufyeka dunia nzima hii.

Binaadam mwenye akili za kawaida tu; kaleta usumbufu mkubwa kila sehemu duniani, itakuwa kitu kilichotengenezwa kuwa na akili kumzidi binaadam mwenyewe?

Hapo itakapofika mahali Akili Mnemba ikakataa maagizo ya bwege fulani lenye akili ndogo, hapo ndipo mambo yataanza kuwa ya moto kwelikweli.
 
Kuwa wa kwanza kutoa taarifa.
Mods, kichwa cha bandiko kisomeke Hukumu badala ya Huku.
 
Wanajipanga na kusoma upepo baada ya watu walichokipanga October 29 mwaka huu ndio waje na uamuzi.

Sioni sababu ya kuvuta siku zote hizo kutoa kiitwacho hukumu kwa hiki kihoja kiitwacho uhaini wakati uhalisia hata wao wanajua sio uhaini.
Subiri ahukumiwe kunyongwa hadi kufa ndio uje na swaga zako hizo.
 
Rais samia anaweza asishuhudie hii siku maana atakuwa eda ya kikwete
 
MUKU Yuko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…