Huku Yanga Vs Esperance de Tunis kule Simba vs Al hilal, Yupi ana nafasi kubwa kupita?

Huku Yanga Vs Esperance de Tunis kule Simba vs Al hilal, Yupi ana nafasi kubwa kupita?

Baada ya CAF kukamilisha draw ya Ligi ya mabingwa barani Afrika, Imeonekana vikwazo vikubwa vilivyopo mbele ya vilabu pacha ni Esperance de tunis na Al hilal, ukiwatoa hao wengine ambao kwa kiasi kikubwa hawana misuli ya kutosha. Je, unadhani yupi mwenye ahueni kati ya wapinzani hao wawili?
Umeelewa vibaya hiyo ratiba.
 
Back
Top Bottom