Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Utopolo huwaga hawana adabu kabisa🤣Hao utopolo hawapo hata top 11 halafu unawapimisha ubavu na magiant wa soka afrika? Ifike mahali timu ziheshimu timu kubwa afrika ambazo zipo walau top 5
Walete waleteeeMfano ikitokea hivyo itakuwaje?
Dogo njoo na kwangu nikule nukta, maana ukiwa unawashwa unaongea uchoko tuAkili yako imeyumba sababu unafokolewa sana, kaa kimya
Hata avatar yake inasadifu hali aliyo nayo. Inaonekana alikuwa analawitiwa na anko udogoniMkuu utapoteza muda wako kubishana na huyo kichaa, anastress au malezi alopewa sio mazuri
Hawana huo uelewa...kwa sasa kila kitu kimebadilika kwa sbb ya maingizo mapya mengi...Mi mdo sijaelewa au
Lakini simba na yanga wote wananzia hatua za mwanzo na hata magiant wa africa pia
😂😂 MuueUkajifanya kuedit post yako ya kwanza ili kuua so.
Mods msifute huu uzi ubaki kama rejea ya upuuzi wa huyu jamaa.
KUPATA VITUKO KAMA HIVI ANDIKAMfano ikitokea hivyo itakuwaje?