Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Kufiwa=Kufiliwa

Ilikuwa inanitatiza sana
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Soko linaitwa marikiti
Kituo cha mafutu sheli kule kinaita kituo cha mobil
Chepe yaitwa pauro(si paulo)
Gari kule waito motokaa
Mwanamke aliyeachika kule wawaita wajane

Tutaendelea.............!
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Umenikumbusha mbali sana, miaka hiyo ya wahenga tukiwa na mpiga gitaa mmoja machachari sana akiitwa Masengo. Yeye alitunga wimbo akielezea jinsi Kiswahili kilivyo tofauti kutegemea na sehemu ulipo. Anasema kule kwao Kongo wanaità kijiko, lakini huku Tanganyika ni upawa. Anaendelea kwamba alitaka kula muchele lakini huku wanaita wali. Bado pia kule kwao wanasema mwanamke mdogo lakini huku anaitwa msichana. Hata salamu kule kwao wakisalimiana " yambo bwana" huku Tanganyika wanasema "jambo bwana“. Na mwisho kabisa alishangaa alivyoambiwa " unaonaje" wakimaanisha "habari gani"!
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
ikipinda
 
Pisi kuipata ni ngumu sana, ni mara mia demu akatafunwe na mwenye wake watatu kuliko kukupa wewe mtu wa bara
Mkuu hakuna hata wale wazururaji wa kudanga?
Ila jinsi nilivyowasoma wale ni watu wa siri sana ila kuliwa wanaliwa ila kutokana na tamaduni zao wanaona aibu kusimama na mtu wa bara.
Mbona mimi mtandaoni huwa nawaseti wanakubali ila muda wa kwenda ndio sina.
 
Wanawake wa huku M'bongo (mtu wa Bara) wanampa haraka na bila masharti, wenzao wa huku wanaoneyana haya.
 
Duh hata kwa pesa mkuu
Yaani we Bora utafute watalaka. Hawa wengine ukiwatoa out anakuja na ukoo akija mwenyewe lazima akanunue chipsi mishikaki apelekee ukoo mzima hata iwe saa sita usiku.

Ukiwa na ka gari labda hapo unaweza kufanikisha kumyandulia humo[emoji23][emoji23]
 
Wale jamaa hawanaga tafsida, nilipanda daladala sasa kuna mama mmoja alikua amekaa siti ya mbele sasa jamaa mmoja akawa ameweka miguu kwa nyuma ya kiti cha yule mama kiasi mwamba ikawa inamchoma yule mama kwanyuma, dah yule mama alipogeuka aliropoka kwa sauti '' we kaka vipi wantia miguu mk*nd*ni'' na ni mmama wa heshima kabisa
 
Mkuu huo ndio ukweli,
Aslimia kubwa sanaa ya machangudoaa waliopo Zanzibar ni kutoka Bara.
Tatizo leo nyinyi watu wa bara munapenda kuyachukulia maneno munayo yasikia,
Na kuyamini kwa aslimia kubwa bila kufanya uchunguzi.
Naona humu munapigana uongo mwingi kuhusu Zanzibar yetu but hatupo kama munavyodhani.
Mkuu nimeishi Zanzibar miaka 7 kwahiyo ninachokiongea Nina uhakika nacho.

Nimewala Sana wazanzibari; ukiwajulia vizuri ni maharage ya Mbeya Tena take mabichi
 
Back
Top Bottom