Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

kwahiyo umechukia sababu hajauliza!!!
Siwezi kuchukia ujinga, ila ni vizuri kama kitu hujui uliza. Mfano mzuri neno mchamba wimba, angalia kwenye post zake alivyolidadavua, je ndivyo ilivyokuwa hadi kupatikana kwa jina la eneo hilo?
 
Huwa natamani aje Rais wa kusema Muungano basi. Kila mtu arudi na akae kwao. Tuone nani ataumia Dadeki
Julius hakuwa chizi ndugu. Tukiwaacha kivyao eneo litageuka uarabuni fasta sana. Usitegemee kwamba watakufa njaa. Hayati Kuna jambo aliliona.
 

Sio tia wanasema WEKA kama unashuka dule unasema konda niweke dole hata mimi mwanzoni nilipata shida sana naishi Dole.
 
Eti "wali harage"[emoji3][emoji3] hawa watu bhana na hiyo lafudhi yao sasa ni balaa.

Kufundisha wanasema kusomesha!

Utasikia "mwl Zuberi asomesha skuli gani"? Hapo anauliza mwl Zuberi anafundisha shule gani.
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Rula wanaita mstari....wale watu hawafai kabisa...wanaweza kukuumiza kichwa kwa kitu kidogo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Uongo uliotukuka!!!!!
 
[emoji23] [emoji23]
Rula wanaita mstari....wale watu hawafai kabisa...wanaweza kukuumiza kichwa kwa kitu kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Rula=ruler in english na mstari=mistaratun in arabic na yote tunatumia. Lkn zaidi rula
 
Sio wazenji, huwa wanatoka Bara na kwenda kufanya biashara Zenji. Maeneo yote ya Kaskazini Nungwi , Kiwengwa kote huko wapo. Na kuna wengine huwa wanakwenda kuuza nyuchi then wikiend wanarudi Bara.
Ina maana wa zenji hawafanyi ufuska si ndio? Basi hiyo ni nchi ya ahadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…