mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Anza mwanzo wa uzi! Kwanini asingekuwa anaulizia maana?! Kitu kama hukijui kuuliza sio ujinga!
kwahiyo umechukia sababu hajauliza!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza mwanzo wa uzi! Kwanini asingekuwa anaulizia maana?! Kitu kama hukijui kuuliza sio ujinga!
Siwezi kuchukia ujinga, ila ni vizuri kama kitu hujui uliza. Mfano mzuri neno mchamba wimba, angalia kwenye post zake alivyolidadavua, je ndivyo ilivyokuwa hadi kupatikana kwa jina la eneo hilo?kwahiyo umechukia sababu hajauliza!!!
Nilimwambia huyo tatizo ni lakewewe una mizuka yako tu,wapi ameponda maneno yanyotumika zanzibar!!!
mada nzima mleta mada anasema anashangaa wewe unasema ameponda!!!
So altakiwa aseme sembe kisimi sioKwenye harage we ukapindua na kuweka kisimi a.k.a king'amuzi
[emoji41][emoji41]Nilimwambia huyo tatizo ni lake
Julius hakuwa chizi ndugu. Tukiwaacha kivyao eneo litageuka uarabuni fasta sana. Usitegemee kwamba watakufa njaa. Hayati Kuna jambo aliliona.Huwa natamani aje Rais wa kusema Muungano basi. Kila mtu arudi na akae kwao. Tuone nani ataumia Dadeki
Waalaykum salaam, habari yako ndugu?
Alhamdu... afya yangu ni timilifu.Waalaykum salaam, habari yako ndugu?
Salama kabisa. Ila kama una maongezi binafsi nifate PM maana tusiingize maongezi kwenye uzi wa watu hapa.
Si afadhali hata wangekuwa wanasema "shusha" sasa, wengi wanasema "tia"! Kuna sehemu inaitwa Dole konda akisema "Dole" anayeshuka hapo anasema "tia", au utasikia n'tie Dole hapo!
Yaani wale maneno mengi wanayoyaongea ukiyaleta kwa tafsiri ya bara unakuta ni Matusi
VemaSalama kabisa. Ila kama una maongezi binafsi nifate PM maana tusiingize maongezi kwenye uzi wa watu hapa.
Mkuu ukifika Zanzibar usijisumbue kutafuta condom maana hutapata.wapo vizuriHuku hurambi bila usipoangalia unaweza rudi mkavu bara
😂 😂Eti "wali harage"[emoji3][emoji3] hawa watu bhana na hiyo lafudhi yao sasa ni balaa.
Kufundisha wanasema kusomesha!
Utasikia "mwl Zuberi asomesha skuli gani"? Hapo anauliza mwl Zuberi anafundisha shule gani.
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
[emoji23] [emoji23]
Rula wanaita mstari....wale watu hawafai kabisa...wanaweza kukuumiza kichwa kwa kitu kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ok sawa, ila wazanzibari niliosoma nao wengi walikuwa wanatumia neno 'mstari'.Rula=ruler in english na mstari=mistaratun in arabic na yote tunatumia. Lkn zaidi rula
Wasichana wengi wakivaa jinsi hawavaagi Chupi, ushaidi upo sio Tanzania tuuu mpaka wazunguHa ha haaa eti chupi inaitwa Hafu. Hatari sana
Ina maana wa zenji hawafanyi ufuska si ndio? Basi hiyo ni nchi ya ahadiSio wazenji, huwa wanatoka Bara na kwenda kufanya biashara Zenji. Maeneo yote ya Kaskazini Nungwi , Kiwengwa kote huko wapo. Na kuna wengine huwa wanakwenda kuuza nyuchi then wikiend wanarudi Bara.