Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Halafu kuna masheikh na wanasiasa huku bara kutwa kuwapigania wazanzibar

Wakati kwa mzanzibar mradi unatoka bara wewe ni shetani
Hiyo kweli,kama mtu kalelewa kuwa kuiba,kuwa muongo ni Sawa, Sasa mtu huyo utamfananisha na Nani?

Wengi wa Watu kutoka bara uaminifu wao mdogo,ujanja kwako ni kudanganya, kusema uongo nk

Wakishadanganya,au kuiba wanamuona yule aliemfanyia hao mambo ni fala au mjinga..
 
Zanzibar ni Kisiwa cha Waarabu.
Waliamua kuishi na watumwa wao kutoka Bara.
Baadae watumwa wakawapindua kwa msaada wa Wakoloni toka Bara.

Watumwa bado wana mambo ya ajabu sana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]nimeipenda hii
 
Mtumwa alikuwa na jeuri ya kukutana na mwarabu wakazungumza wasaidiane kumtoa mreno?

Hii 18KK unamaanisha kabla ya kristo?

Hivi kwanini hakuna periodisation inayotaja kabla/baada ya Mohamad?
 
Uko sahihi kwa upande wako, nawashangaa wabara wanaowapambania

Nyie ni wa kuachwa mburuzwe milele
 
Mtumwa alikuwa na jeuri ya kukutana na mwarabu wakazungumza wasaidiane kumtoa mreno?

Hii 18KK unamaanisha kabla ya kristo?

Hivi kwanini hakuna periodisation inayotaja kabla/baada ya Mohamad?
Ni kuongezea miaka tu, kwa maana Muhammad (SAWW) alikuja miaka 571 baada ya Yesu.
 
Ni kuongezea miaka tu, kwa maana Muhammad (SAWW) alikuja miaka 571 baada ya Yesu.
Kwanini hakuna popote tunataja miaka kwa kurefer mohamad?

Nifahamishe inawezekana sijui

Sijawahi kusikia
 
Huyu jamaa anarukaruka tu

Baada ya kugundua ni mwarabu sijajisumbua tena

Kuna watu wanabisha mradi tu

Hajaleta reference hata moja

Bwana Naton Jr una moyo sana
Nimeshampotezea sababu anabisha na sio kujadili
 
Ni sawa na karne 18.5
Uzuri ni kwamba hata tukisema tutumie Kalenda ya hijri ni kitu kinachowezekana.
Kwanini hatutumii? Mbona hujibu?

Yawezekana mambo ya mohamad ni stori tu
 
Kwanini hatutumii? Mbona hujibu?

Yawezekana mambo ya mohamad ni stori tu
Chief, tumeondoka kwenye historia naona umekuja kwenye mambo ya dini sasa?
Ok, ni hivi inatumika na hadi hii leo inatumika inajulikana kama hijri kalenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…