Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Mungu yupo ila dini ni vitu vya ajabu ajabu tu walivyoleta wakuja
Kwa akili yako kabisa unaamini unaweza kwenda kwa Mungu bila ya kuwa na imani ya kidini wakati hiyo dini ni njia ya kukufikisha kwa Mungu??

Huna tofauti na Wana Kawe waliomchagua Gwajima kwa kutegemea watapelekwa Birmingham!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Soma vizuri uelewe nilichoandika

Ndio shida ya kushinda 'vyuoni'
 
Marehemu ameacha "kizuka" na watoto watatu. Sijui kizuka ndo mjane 😀😀
 
Marehemu ameacha "kizuka" na watoto watatu. Sijui kizuka ndo mjane 😀😀
Kiswahili safi, kizuka ni mtu aliefiliwa na mume. Akishatoka eda atakuwa mjane.
Mjane ni yule alietalikiwa....
Kwa ufahamu wangu.
 
Kiswahili safi, kizuka ni mtu aliefiliwa na mume. Akishatoka eda atakuwa mjane.
Mjane ni yule alietalikiwa....
Kwa ufahamu wangu.
Asante mkuu.
Lakini wewe umekosea..sio kufiliwa ni kufiwa
 
Hehe wenzio kufiwa ndiyo wanasema hivyo kufiliwa! Hivyo usishangae atakapokuambia kuwa na hicho ni kiswahili safi (kwao lakini)!
Hapa itabidi tuwaite wataalam wa lugha ya kiswahili kuondoa utata
 
Hapa itabidi tuwaite wataalam wa lugha ya kiswahili kuondoa utata
Ofcourse kiswahili tunachoongea wa bara ndiyo sahihi! Maana cha kwao ukileta kwa tafsiri ya huku utakuta maneno mengi ni matusi!

Jaribu kupitia na comments za wadau wengine huko juu uone maneno yao mengine! Tatizo ni kwamba wao ndiyo wanajiona wako sahihi!
 
[emoji3][emoji3] kazi ipo
 
Duh..... Unaijua lahaja iliyorasimishwa ? Soma hapa.
Hapa tunazungumzia lahaja iliyorasimishwa. Tofauti ya maneno kwenye lahaja ipo na si kunena kwamba mtu aamba sivyo, lá hasha bali hunena kwa lahajaye tu !!! Vereje yeo ukasema si sahihi ?
Nijibu hichi.... Je watu wa bara Wana LUGHA za kikabila? Zanzíbar je ? Au wanatumia Kiswahili na lahajaze ?
Asante mkuu.
Lakini wewe umekosea..sio kufiliwa ni kufiwa
Naam kwa lahaja ya kimrima ni sawa hilo,

Hapo pamesemwa kuwa maneno MENGI ya kule ni matusi, nakataa , hapana .... Tunatafsiri maneno..... Mfano neno TIA tunalinasabisha na kufanya mapenzi. Huwezi kusema niwekee chai, kuweka ni sehemu iliyo tambarare ila pakiwa na shimo ,TIA ndio sahihi kabisa. Kupenya..... Subiri litatafsiriwa Sasa hivi, linashabihiana na TIA ......
 

Attachments

  • Screenshot_2021-03-01-08-49-16-130_org.mozilla.firefox.jpg
    130.7 KB · Views: 3
na mimi ntatembelea nijionee
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ntaenda nkajionee japo nahisi kama umedanganya vile[emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unawajua sana wazanzibar case closed [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vipi hukufanikiwa kudate nao
 
Nilifumania mpira wa miguu ukichezwa Sasa ndugu aliekuwa na mpira alikuwa kwenye kona mwenzake akawa analalama kwambi "tia tia tia!" Akiwa na maana apige krosi ije gorini afunge..[emoji23][emoji23]
pia zanzibar kuna kesi nyingi sana za ufiraji mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…