Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Kule hakuna ni "Asalaam Alaykum" tu, ukitumia salamu kama "Shikamoo" au sijui "Za saa hizi" wanakujibu ila wanajua tu huyu mtu wa bara.
oooohh!!!Nice.nikienda kila ntakayekutana nae itakuwa ni asalemu aleku[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ofcourse kiswahili tunachoongea wa bara ndiyo sahihi! Maana cha kwao ukileta kwa tafsiri ya huku utakuta maneno mengi ni matusi!

Jaribu kupitia na comments za wadau wengine huko juu uone maneno yao mengine! Tatizo ni kwamba wao ndiyo wanajiona wako sahihi!
Ntie Dole hapo, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaah
 
Wabongo watu wa ajabu sana, badala ya kuwashangaa Wasukuma na kiswahili chao cha ajabu ajabu(maana hata hawajui matumizi ya R na L) eti wanataka kusema Zanzibar hawajui kiwahili! Aguju!!! Kwa taarifa tu kule kiswahili ndio lugha mama. Kama mtu ataongea lugha nyingine basi hiyo ni yakujifunza
true.kiswahili asili yake ni kule
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo comments Sasa mie sina mbavu lol.
 
Askari wa Zanzibar
_ akija kukukamata anakwambiya utangulie kituoni,,,tena
anakukabidhi gegeje ukifika pale police umsubiri nje,,
Yeye anamalizia kula urojo..
Kkkkkk askari wa Zanzibar ...
Halafu nasikia wanavaa shati la police wanachomekea msuli na kubazi..na kofia ya balaghashea..
_mwanamke akipanda bodaboda haruhusiwi kumshika kiuno mwendesha bodaboda,,,anapaswa akae upande upande..
Halafu majina yao sasa!!
Chamba wima.
Mfereji maringo.
Chokocho.
Kiembe samaki.
Kiembe ladu..
Nasikia akikamatwa mwizi hapigwi,,,bali anamwagiwa vumba la samaki,,,akaliwe na paka huko aendako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwandende una uzoefu na zanzibar?
 
Wale jamaa hawanaga tafsida, nilipanda daladala sasa kuna mama mmoja alikua amekaa siti ya mbele sasa jamaa mmoja akawa ameweka miguu kwa nyuma ya kiti cha yule mama kiasi mwamba ikawa inamchoma yule mama kwanyuma, dah yule mama alipogeuka aliropoka kwa sauti '' we kaka vipi wantia miguu mk*nd*ni'' na ni mmama wa heshima kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasikia kuna kesi nyingi sana za ufiraji huko
 
Hamna Mzanzibari anaeupenda Mungano,Kama utamsikia Mzanzibari anaushangilia Mungano basi mgeni huyo..

Wafanyabiashara wengi wa Kariakoo ni Wazanzibari kutoka kisiwa cha Pemba

Wapemba ndio wanaongoza kuupinga huu Mungano
mbona balozi seif anaupenda muungano
 
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!

Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!

Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)

Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!

Huku Zanzibari;
  • Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
  • Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
  • Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
  • Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
  • Pombe wanaita- moja moto moja baridi
  • Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
  • Shule huku zinaitwa skuli
  • Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
Li paulo !!!!!
 
Ukitoka bara unaitwa mnyamwezi....
 
Kiukweli ni pazuri na pa kipekee sana asikuambie mtu!

Kuhusu pisi sijui mkuu mimi ni KE ila kuhusu lafudhi na lugha yao kwa sisi wabara tulivyo na vichwa vibovu huwa tunaishia kushangaa na kucheka wanavyoongea vile maana sisi tunaona kama matusi kumbe wenzetu kule kwao hayo maneno ni ya kawaida tu!
Wee mwenyewe si pisi mkuu tunafanyaje sasa[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
vipi wapoje katika mahusiano?
Wanaaminishwa wanaume wa bara ni ,
--washenzi..
-- sio romantic.
-- mwanamke akiingia ndani kwa mwanaume hatoki salama.
-- hatujuwi kuhudumia..ndy maana hatuendi marikiti.

Kama kuna mtu kamgegeda Mpemba/mzazibar huku bara anitag..
 
Back
Top Bottom