Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
oooohh!!!Nice.nikienda kila ntakayekutana nae itakuwa ni asalemu aleku[emoji3][emoji3][emoji3]Kule hakuna ni "Asalaam Alaykum" tu, ukitumia salamu kama "Shikamoo" au sijui "Za saa hizi" wanakujibu ila wanajua tu huyu mtu wa bara.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu unakuta mtu mzima[emoji3][emoji3]Kwakweli siwezi kaa na hao watu mbavu zitapata hitilafu. Unakuta anaongea upuuzi halafu yuko serious[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehe wenzio kufiwa ndiyo wanasema hivyo kufiliwa! Hivyo usishangae atakapokuambia kuwa na hicho ni kiswahili safi (kwao lakini)!
Ntie Dole hapo, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaahOfcourse kiswahili tunachoongea wa bara ndiyo sahihi! Maana cha kwao ukileta kwa tafsiri ya huku utakuta maneno mengi ni matusi!
Jaribu kupitia na comments za wadau wengine huko juu uone maneno yao mengine! Tatizo ni kwamba wao ndiyo wanajiona wako sahihi!
vipi wana utofauti gani na wanawake wabaraMe nilishawahi mpata mmoja, pindi anavua nguo aliniambia, ehee usinichunguliee
true.kiswahili asili yake ni kuleWabongo watu wa ajabu sana, badala ya kuwashangaa Wasukuma na kiswahili chao cha ajabu ajabu(maana hata hawajui matumizi ya R na L) eti wanataka kusema Zanzibar hawajui kiwahili! Aguju!!! Kwa taarifa tu kule kiswahili ndio lugha mama. Kama mtu ataongea lugha nyingine basi hiyo ni yakujifunza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu unakuta mtu mzima[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tembea ujioneeBasi siku hizi safi, zamani gari za mizigo ndio ziliwekwa mabench kwa ajili ya kibeba abiria.!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwandende una uzoefu na zanzibar?Askari wa Zanzibar
_ akija kukukamata anakwambiya utangulie kituoni,,,tena
anakukabidhi gegeje ukifika pale police umsubiri nje,,
Yeye anamalizia kula urojo..
Kkkkkk askari wa Zanzibar ...
Halafu nasikia wanavaa shati la police wanachomekea msuli na kubazi..na kofia ya balaghashea..
_mwanamke akipanda bodaboda haruhusiwi kumshika kiuno mwendesha bodaboda,,,anapaswa akae upande upande..
Halafu majina yao sasa!!
Chamba wima.
Mfereji maringo.
Chokocho.
Kiembe samaki.
Kiembe ladu..
Nasikia akikamatwa mwizi hapigwi,,,bali anamwagiwa vumba la samaki,,,akaliwe na paka huko aendako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasikia kuna kesi nyingi sana za ufiraji hukoWale jamaa hawanaga tafsida, nilipanda daladala sasa kuna mama mmoja alikua amekaa siti ya mbele sasa jamaa mmoja akawa ameweka miguu kwa nyuma ya kiti cha yule mama kiasi mwamba ikawa inamchoma yule mama kwanyuma, dah yule mama alipogeuka aliropoka kwa sauti '' we kaka vipi wantia miguu mk*nd*ni'' na ni mmama wa heshima kabisa
vipi wapoje katika mahusiano?Mkuu nimeishi Zanzibar miaka 7 kwahiyo ninachokiongea Nina uhakika nacho.
Nimewala Sana wazanzibari; ukiwajulia vizuri ni maharage ya Mbeya Tena take mabichi
mbona balozi seif anaupenda muunganoHamna Mzanzibari anaeupenda Mungano,Kama utamsikia Mzanzibari anaushangilia Mungano basi mgeni huyo..
Wafanyabiashara wengi wa Kariakoo ni Wazanzibari kutoka kisiwa cha Pemba
Wapemba ndio wanaongoza kuupinga huu Mungano
Li paulo !!!!!Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwandende una uzoefu na zanzibar?
Ukitoka bara unaitwa mnyamwezi....Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Wee mwenyewe si pisi mkuu tunafanyaje sasa[emoji3][emoji3]Kiukweli ni pazuri na pa kipekee sana asikuambie mtu!
Kuhusu pisi sijui mkuu mimi ni KE ila kuhusu lafudhi na lugha yao kwa sisi wabara tulivyo na vichwa vibovu huwa tunaishia kushangaa na kucheka wanavyoongea vile maana sisi tunaona kama matusi kumbe wenzetu kule kwao hayo maneno ni ya kawaida tu!
Unaitwa chogo..hilo Mnyamwezi wamekuheshimu snUkitoka bara unaitwa mnyamwezi....
Wanaaminishwa wanaume wa bara ni ,vipi wapoje katika mahusiano?