Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Wanaaminishwa wanaume wa bara ni ,
--washenzi..
-- sio romantic.
-- mwanamke akiingia ndani kwa mwanaume hatoki salama.
-- hatujuwi kuhudumia..ndy maana hatuendi marikiti.

Kama kuna mtu kamgegeda Mpemba/mzazibar huku bara anitag..
Mimi hapa!
 
mojawapo ya maeneo ya kipumbavu sana kuishi hapa duniani, yamejaa ubaguzi, udini,ufirauni wa sodoma na gomora, ushirikina na mazuzu.
 
marikiti[emoji3][emoji3]
 
Ila wanaubaguzi hawa watu usiombe wewe wa bara ukafanya kazi zenji yani hatar ndugu yangu alihama usiku wa manane kakimbia kazi mwenyewe
 
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duh nikisikia huko Zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao, mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanaaminishwa wanaume wa bara ni ,
--washenzi..
-- sio romantic.
-- mwanamke akiingia ndani kwa mwanaume hatoki salama.
-- hatujuwi kuhudumia..ndy maana hatuendi marikiti.

Kama kuna mtu kamgegeda Mpemba/mzazibar huku bara anitag..
Zanzibar Hakuna wanawake wazuri sijui kwanini mtu na akili zako unafunga safari kwenda Unguja kuoa. Yani unaweza kutembea Unguja nzima hujaona warembo angalau wale unaowaona Stand ya makumbusho.

Kidogo wasichana wazuri wako Pemba lakini unguja Hakuna kitu. Wana maumbo Kama ya Hadija kopa na sura za Baba zao. Daaah sijui wabara wanaoendaga kuoa Unguja huwa kichwani wamevuta bangi. Huwa nikienda unguja najua nimeingia Gereza la kutokuona warembo.

Na asilimia kubwa ya warembo kule unguja ukimuuliza utaambiwa ni m-bara.

Hahaha
 
mojawapo ya maeneo ya kipumbavu sana kuishi hapa duniani, yamejaa ubaguzi, udini,ufirauni wa sodoma na gomora, ushirikina na mazuzu.
Unguja sehemu ya Hovyo Sana ... Wanatuchukia sana wabara waziwazi. Huwa naumia sana wakati wao huku tunawaheshimu.
 
Ila wanaubaguzi hawa watu usiombe wewe wa bara ukafanya kazi zenji yani hatar ndugu yangu alihama usiku wa manane kakimbia kazi mwenyewe
Acha kabisa Unguja Kuna Ubaguzi sana. Wabara hawapendwi. Unaweza kufanyiwa fitina Hadi ukakimbia.
 
Mmhhhhh.
Mradi na wewe umeandika!!!!

Zanzibar yenye mchanganyiko wa makabila kibaooo unasema hakuna warembo!!!?

Zanzibar ipi uloenda wewe? Au kwa vile wanavaa mavazi ya kuiljistiri ndio sababu?
 
ukiona unawasilimia hao wanawake wanaitika bila kusimama, ujue unaepushwa na mengi huko busha ziko nje nje
 
Acha kabisa Unguja Kuna Ubaguzi sana. Wabara hawapendwi. Unaweza kufanyiwa fitina Hadi ukakimbia.
Ila wabara wapo wengi sana. Wafanyakazi wa mahotelini, restaurants za wazanzibari wengi wao watu wa bara.
Wauza maduka ya vyakula/nafaka wa mwanakwerekwe wengi wao wachaga.
Stone town wamasai na watu wa Arusha wengi wamefungua maduka ya vitu vya watalii, picha za tingatinga na vinyago.

Hao ni wachache tu. Na hawajakimbia. Punguzeni chai kwa vitu msivyovielewa wala kuwa na uhakika navyo.

Watu wengi saivi wanajenga apartments kwa sababu wanaotaka nyumba za kupanga washaongezeka.

Mimi ofisi ninayofanyakazi kuna watu wa bara kuzidi Wazanzibar.

Kuna mmoja aliwahi kuropokwa kuwa alivoambiwa alivyotoka kwao kuh Zanzibar tofauti sana na aliyoyakuta. Wanaishi kwa amani kabisa.

Na katika hao watatu washahamisha mpk familia zao kuja Zanzibar.
 
wanasema niweke skuli hapo...nilweke dole hapo...sio shusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…