Pole mkuuShida gonga mali ya mtu akubambe na "wao"wanakugonga vizuri tu huku "mpenzi"wenu anashuhudia na wala hawakutangazi mwenyewe tu unahama kimya kimya na wana namba yako wanakusalimia mpaka unabadili namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuuShida gonga mali ya mtu akubambe na "wao"wanakugonga vizuri tu huku "mpenzi"wenu anashuhudia na wala hawakutangazi mwenyewe tu unahama kimya kimya na wana namba yako wanakusalimia mpaka unabadili namba
Hebu funguka mkuu tuwaumbueWanajamii forum, naomba kuuliza. Hivi mtu huwa anajiskia raha gani kuongea uongo au kuongelea kitu ambacho hakijui ukweli wake? Kwanini kama mtu hajui maana au tafsiri ya kitu asiulize kwa wenye kujua? Au anapata faida gani kuongea uongo??
Anza kwa kuniuliza, nikujibu.Hebu funguka mkuu tuwaumbue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Watumia hafu za Zenji mama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dagaa mchele wanaita UPAPA[emoji16][emoji16][emoji16].
ZANZIBAR napapenda sanaaa.
Msivunje Muungano nyie ni ndugu zetu..
Wa tanga na baga moyo hao... ..wezi hatar!Mbona machangudoa wa bara hawalii lakini wa Zanzibar wanalia hatari kitandani?
Au akutane na Kiringo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Angalia tu mkuu usipokuwa makini kila kitu utalipiwa huko
Hawa jamaa wanachekesha... Hii lugha wao waliitoaga wapi? Eti mkuu... Li-paulo!!!Li-PAULO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ndio kwenye kiswahili sio kwenye mnakomix R na LHawa jamaa wanachekesha... Hii lugha wao waliitoaga wapi? Eti mkuu... Li-paulo!!!
NDC ni nini?Ha ha haaa eti chupi inaitwa Hafu. Hatari sana
"Sasa hapa tatizo liko wapi?"Tatizo watu hawaelewi, Zanzibar ilikuwa chini ya tawala mbili kwa wakati mmoja.
Ilikuwa ni Koloni la Waoman na Waingereza kwa Ujumla, hivyo kiuta vyovyote vile ni sawa
English Market =Marikiti
Arabic Souk = Soko
Sasa hapo tatizo lipo wapi hapo?
Hakuna cha kushangaza hapo!"Sasa hapa tatizo liko wapi?"
Ooh tatizo ni wewe kwa kudhani ni tatizo
Mtoa mada hajasema ni tatizo ila inashangaza na kuchekesha tu
Ila cha kuchekeshaHakuna cha kushangaza hapo!
Pia hakipo, maana hata Mzanzibar akienda Simanjiro, Arusha au Manyara akikutana na Wasandawe wanavyoongea, je kuna cha kuchekesha kwake!?Ila cha kuchekesha
Lkn inapatikana au ni adimu