Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Shida gonga mali ya mtu akubambe na "wao"wanakugonga vizuri tu huku "mpenzi"wenu anashuhudia na wala hawakutangazi mwenyewe tu unahama kimya kimya na wana namba yako wanakusalimia mpaka unabadili namba
Pole mkuu
 
Wanajamii forum, naomba kuuliza. Hivi mtu huwa anajiskia raha gani kuongea uongo au kuongelea kitu ambacho hakijui ukweli wake? Kwanini kama mtu hajui maana au tafsiri ya kitu asiulize kwa wenye kujua? Au anapata faida gani kuongea uongo??
Hebu funguka mkuu tuwaumbue
 
Hawa jamaa wanachekesha... Hii lugha wao waliitoaga wapi? Eti mkuu... Li-paulo!!!
Huko ndio kwenye kiswahili sio kwenye mnakomix R na L
Yaani mtu hata R.I.P wanaandika L.I.P
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Tatizo watu hawaelewi, Zanzibar ilikuwa chini ya tawala mbili kwa wakati mmoja.
Ilikuwa ni Koloni la Waoman na Waingereza kwa Ujumla, hivyo kiuta vyovyote vile ni sawa
English Market =Marikiti
Arabic Souk = Soko
Sasa hapo tatizo lipo wapi hapo?
"Sasa hapa tatizo liko wapi?"

Ooh tatizo ni wewe kwa kudhani ni tatizo

Mtoa mada hajasema ni tatizo ila inashangaza na kuchekesha tu
 
"Sasa hapa tatizo liko wapi?"

Ooh tatizo ni wewe kwa kudhani ni tatizo

Mtoa mada hajasema ni tatizo ila inashangaza na kuchekesha tu
Hakuna cha kushangaza hapo!
 
Back
Top Bottom