Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hata kama wanafanya sio wazi wazi, kama Kimboka, kona bar, Jolly, sokota au masakuu.Ina maana wa zenji hawafanyi ufuska si ndio? Basi hiyo ni nchi ya ahadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wanafanya sio wazi wazi, kama Kimboka, kona bar, Jolly, sokota au masakuu.Ina maana wa zenji hawafanyi ufuska si ndio? Basi hiyo ni nchi ya ahadi
Kweli. Ninayo mengi sana.Ana matatizo
Population ikiongezeka na wao wanaomgezeka,hiyo biashara ipo Dunia nzima acha kutuongopeaHata kama wanafanya sio wazi wazi, kama Kimboka, kona bar, Jolly, sokota au masakuu.
Hakuna anaekuongopea, kwa Tanzania nzima Bara inatisha.Population ikiongezeka na wao wanaomgezeka,hiyo biashara ipo Dunia nzima acha kutuongopea
Pia kuna sehemu inaitwa mfereji maringo ukitaka story zake waulize wenyeji.Hahahahaaa!!!! Nimecheka.... Fundi Mfereji...
Zuchu alivyoimba Ukipenda Unibimbe Unikumbatie, nikauliza unibimbe ndo nini? Nikaambiwa niwaulize wazenji
Kwahiyo ninyi hamna lugha za makabila?Wabongo watu wa ajabu sana, badala ya kuwashangaa Wasukuma na kiswahili chao cha ajabu ajabu(maana hata hawajui matumizi ya R na L) eti wanataka kusema Zanzibar hawajui kiwahili! Aguju!!! Kwa taarifa tu kule kiswahili ndio lugha mama. Kama mtu ataongea lugha nyingine basi hiyo ni yakujifunza
Haha kuna soko fulani nilipita mkoa fulani nikasikia horn speaker ikinadi dagaa moja wapo ni hiyo tonge kwa tonge, sikujua wanamaanisha aina ya dagaa.Sardine sio dagaa mchele chief.
Dagaa mchele kule wanaitwa - tonge kwa tonge!
Lakini mbona nimewasikia wa zanzibar wanaomix pia R na L?Huko ndio kwenye kiswahili sio kwenye mnakomix R na L
Yaani mtu hata R.I.P wanaandika L.I.P
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sidhani kama hicho wanachoongea huko vijijini ni kiswahili, huenda ndio kikabila Chao kilichopapaswa kidogo na misamiati ya kiswahili.Kabisa yani. Imagine pale mjini tu kuna vitu hauelewi halafu unaambiwa bora wa mjini kule shamba ndiyo kabisa hauelewi kitu.
Kunjunja.Zuchu alivyoimba Ukipenda Unibimbe Unikumbatie, nikauliza unibimbe ndo nini? Nikaambiwa niwaulize wazenji
Hiyo sio standard swahili, sababu hata mengi ya maneno yao hayapo kwenye dictionary, halafu nani kasema zanzibar ndio yenye mandate ya kuclaim lugha ya kiswahili? Yapo maneno kibao toka kwenye lugha zetu za makabila zipo kwenye kiswahili.Kwasababu huko ndiko wanapoongea kiswahili, mixer lahaja, mixer krioli mixer isimu, mixer tamathali za semi. Sasa wasiojua kiswahili wataelewa vipi?!
Itapendeza sana siku Muungano unavunjika sababu naona mnatulemea sana, Zanzibar ni kaeneo kadogo sana lakini uwakilishi wake hauakisi ukubwa wake geographically, hizo gharama za kuwahudumia ni kodi zetu, fikiria idadi yenu pale bungeni na kwenye taasisi za Muungano tunaenda sambamba wakati watu wa tatu tu wangetosha kukiwakilisha kaeneo kenu.-Hela zinatwa PESA
-Nyanya zinaitwa TUNGULE
-Watu watokao bara wote wanaitwa WANYAMWEZI
-Umeme huku haukatwi isipokuwa UNAZIMWA
-Mvua huku hainyeshi bali INAKUNYA
-Viazi vinaitwa MBATATA
-Daftari linaitwa BUKU
-Kalamu inaitwa PENI.....nk,nk,nk,
Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbilitafauti,Lugha,mila,desturi na Utamaduni tafauti
If you don't know now you know
Fanya haraka uondoke Kabla hawaja Ku......
Hivi wanaongea kikabila hao?Sidhani kama hicho wanachoongea huko vijijini ni kiswahili, huenda ndio kikabila Chao kilichopapaswa kidogo na misamiati ya kiswahili.
Kwani we nani mpaka tafsiri yako tuiamini yake tuikatae? Kuna kipi cha tofauti labda hapo? Sababu naona wote ni wanaJF tu hamna cha ziada, yeye pia anauwezo wa kusema wewe ndio mpotoshaji na tikamuamini.Siwezi kuchukia ujinga, ila ni vizuri kama kitu hujui uliza. Mfano mzuri neno mchamba wimba, angalia kwenye post zake alivyolidadavua, je ndivyo ilivyokuwa hadi kupatikana kwa jina la eneo hilo?
Nilimsikia mtu akisema hawana makabila ila pia nilisikia history kwamba wote hao wametokea bara haswa Mtwara na Lindi lakini Ukiwasikia lugha wanayo ongea huko vijijini sio standard swahili kilichopo kwenye dictionaryHivi wanaongea kikabila hao?
Hahahaha we jamaa akili zako timamu kweli?View attachment 1619147View attachment 1619148View attachment 1619149View attachment 1619150View attachment 1619151View attachment 1619152View attachment 1619153View attachment 1619154View attachment 1619155View attachment 1619156View attachment 1619157View attachment 1619158View attachment 1619159View attachment 1619160View attachment 1619161View attachment 1619162View attachment 1619163
Biashara hizo. Nitafutie kama hizo 20 tu ndani ya Zenji ambao ni Wazanzibari.
Itapendeza sana siku Muungano unavunjika sababu naona mnatulemea sana, Zanzibar ni kaeneo kadogo sana lakini uwakilishi wake hauakisi ukubwa wake geographically, hizo gharama za kuwahudumia ni kodi zetu, fikiria idadi yenu pale bungeni na kwenye taasisi za Muungano tunaenda sambamba wakati watu wa tatu tu wangetosha kukiwakilisha kaeneo kenu.