Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

In shona ni baba hivyo hivyo, wala huna haja ya kuongeza al na bado haiwi baba
Kwahiyo lugha ya Kishona ipo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki ? Shona asili yake ni Afrika kusini na haina uhusiano na kiswahili. Na hapa nilipo naishi na Washona Na kama shona ni miongoni mwa lugha za mwambao mbona hao washona hawakijui kiswahili?
 
Maneno yote ya kiswahili yanaandikika kwa 100% kwa Arabic dialect bila kukwama hata neno moja wakati kwa English hayawezi kuandikika. Kswahili ni kiarabu shekhe!
نون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكو
Hiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruani

Hakuna kiswahili hapo ni sawa na mchina aandike kichina aseme ni English, unachosha 😏
 
Baba kwa kiarabu ni alab (Hakuna hata mfano na Baba, bora hata Papa kwa French au hata Dad kwa English)

Mama kwa kiarabu ni um (Hakuna hata uhusiano na Mama, bora hata Mum kwa English au hata mama kwa French)

Kiarabu sio kiswahili bro ni kibantu
Nakuunga mkono kiarabu sio kiswahili.
 
Tafuta elimu nikufundishe mimi? Kha! Mimi kiswahili chenyewe sijui.
 
Hiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruani

Hakuna kiswahili hapo ni sawa na mchina aandike kichina aseme ni English, unachosha [emoji57]
Hicho nilichoandika hapo ni kiswahili tena safi kabisa.
 
Kwahiyo lugha ya Kishona ipo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki ? Shona asili yake ni Afrika kusini na haina uhusiano na kiswahili. Na hapa nilipo naishi na Washona Na kama shona ni miongoni mwa lugha za mwambao mbona hao washona hawakijui kiswahili?
Kwani aliekuambia wabantu hawapo mwambao nani? Waarabu walivyokuja hawakuwakuta watu mwambao?

Wabantu wapo wa kutosha mwambao na wamekua wakifanya biashara na watu wa masafa ya mbali hivyo kukuza lugha yao kabla ya Jamii yoyote kuja

Waarabu walipokuja ndio wakaongeza tu maneno kwenye lugha ya wabantu kama wahindi, waajemi, wareno, wazungu na Jamii nyingine zilivyokuja kuongeza maneno yao kwenye lugha waliyoikuta

Tatizo ni kwamba wahindi, waajemi, wareno, wazungu na wengine hswasemi kiswahili ni chao isipokuwa ninyi tu ndio ving'ang'anizi
 
Ni kibantu typically, kishona ni kiswahili kwa zaidi ya 40%
Nakucheka sana kwasababu hapa nilipo naishi na Washona na kila neno ninalotaja kwa kiswahili hawalijui. Neno mama pekee haliakisi. Linatamkwa na hata mtoto mchanga asiejua ni lugha gani anaongea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kwani aliekuambia wabantu hawapo mwambao nani? Waarabu walivyokuja hawakuwakuta watu mwambao?

Wabantu wapo wa kutosha mwambao na wamekua wakifanya biashara na watu wa masafa ya mbali hivyo kukuza lugha yao kabla ya Jamii yoyote kuja

Waarabu walipokuja ndio wakaongeza tu maneno kwenye lugha ya wabantu kama wahindi, waajemi, wareno, wazungu na Jamii nyingine zilivyokuja kuongeza maneno yao kwenye lugha waliyoikuta

Tatizo ni kwamba wahindi, waajemi, wareno, wazungu na wengine hswasemi kiswahili ni chao isipokuwa ninyi tu ndio ving'ang'anizi
Aliekwambia sisi ni wang'ang'anizi nani? Online dictionaries nyingi wametengeneza Wakenya, kutoka Lamu na Mombasa. Ninyi ambao si ving'ang'anizi kwanini mnawasema kuwa Wakenya ni wizi Kiswahili sio chao?
 
Nakuunga mkono kiarabu sio kiswahili.
Mkuu hili mimi nimelikalia kulisoma kwa zaidi ya miaka mitano, na hata serikali chini ya Baraza la Kiswahili Tanzania kinasisitiza kiswahili sio kiarabu bali ni kibantu na karikulam ya wizara ya elimu inafundisha hivyo mashuleni

Hawa wanaongea bila supportive yoyote, wanapoteza tu muda
 
Aliekwambia sisi ni wang'ang'anizi nani? Online dictionaries nyingi wametengeneza Wakenya, kutoka Lamu na Mombasa. Ninyi ambao si ving'ang'anizi kwanini mnawasema kuwa Wakenya ni wizi Kiswahili sio chao?
Wakenya wengi ni nilotics, kushets wabantu ni almost 2%
 
Hiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruani

Hakuna kiswahili hapo ni sawa na mchina aandike kichina aseme ni English, unachosha [emoji57]
نون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكو
Hiki ndicho nilichokiandika:
"Naona unang'ang'aa macho tu hapo. Tafuta elimu kijana kiswahili ni kiarabu. Hiyo akili nakupa chagua kukubali ama kukataa. Ni juu yako."
 
Maneno zaidi ya kiswahili kutoka kwenye lugha nyingine Portugal, ila hawesemi kiswahili ni Portuguese
Screenshot_20201106-101926~2.png
 
Nakucheka sana kwasababu hapa nilipo naishi na Washona na kila neno ninalotaja kwa kiswahili hawalijui. Neno mama pekee haliakisi. Linatamkwa na hata mtoto mchanga asiejua ni lugha gani anaongea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hauishi na washona, huwezi kuishi nao ukose kusikia maneno kedekede ya kiswahili kutoka kwao
Screenshot_20201106-102922~2.png
 
Mkuu hili mimi nimelikalia kulisoma kwa zaidi ya miaka mitano, na hata serikali chini ya Baraza la Kiswahili Tanzania kinasisitiza kiswahili sio kiarabu bali ni kibantu na karikulam ya wizara ya elimu inafundisha hivyo mashuleni

Hawa wanaongea bila supportive yoyote, wanapoteza tu muda
Ni kweli tunapoteza muda kwasababu hakuna hata lugha moja ya kibantu inayopatikana Tanzania inaweza kuandikika kwa 20% inayoshabihiana na ndio maana unaleta lugha ambazo sio asili yake kupatikana Tanzania, wakati kiswahili kimezaliwa maeneo ya mwambao.
 
Wakenya wengi ni nilotics, kushets wabantu ni almost 2%
Unaanza ubaguzi sasa, kwahiyo Wakenya sio wabantu! Mwisho utasema na makabila mengi Tanzania sio Wabantu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Ni kweli tunapoteza muda kwasababu hakuna hata lugha moja ya kibantu inayopatikana Tanzania inaweza kuandikika kwa 20% inayoshabihiana na ndio maana unaleta lugha ambazo sio asili yake kupatikana Tanzania, wakati kiswahili kimezaliwa maeneo ya mwambao.
LOL kwani mwambao ni uarabuni? Mwambao sio kwa wabantu?
 
Unaanza ubaguzi sasa, kwahiyo Wakenya sio wabantu! Mwisho utasema na makabila mengi Tanzania sio Wabantu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Tatizo unachangia hii mada kwa kutumia mihemko badala ya professional facts, mimi sijadili kimihemko ili kushinda bali naongelea vitu vilivyofanyiwa Utafiti na wasomi wakubwa ulimwenguni na hasa waafrika, sababu history halisi ya muafrica huwezi kupata kwa mzungu au muarabu lazima wavutie kwao.

kenya_ethnic_1974.jpg
 
  • Thanks
Reactions: T11
Back
Top Bottom