Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
LOL unaweza kunifundisha namna ya kutafsiri swahili dialects kwenda kwenye English dialects?Lahaja. Kwani unafikiri sielewi
Kiarabu kina dialects ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOL unaweza kunifundisha namna ya kutafsiri swahili dialects kwenda kwenye English dialects?Lahaja. Kwani unafikiri sielewi
Kwahiyo lugha ya Kishona ipo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki ? Shona asili yake ni Afrika kusini na haina uhusiano na kiswahili. Na hapa nilipo naishi na Washona Na kama shona ni miongoni mwa lugha za mwambao mbona hao washona hawakijui kiswahili?In shona ni baba hivyo hivyo, wala huna haja ya kuongeza al na bado haiwi baba
Hiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruaniManeno yote ya kiswahili yanaandikika kwa 100% kwa Arabic dialect bila kukwama hata neno moja wakati kwa English hayawezi kuandikika. Kswahili ni kiarabu shekhe!
نون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكو
Ni kibantu typically, kishona ni kiswahili kwa zaidi ya 40%Kwahiyo lugha ya Kishona ipo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki.
Nakuunga mkono kiarabu sio kiswahili.Baba kwa kiarabu ni alab (Hakuna hata mfano na Baba, bora hata Papa kwa French au hata Dad kwa English)
Mama kwa kiarabu ni um (Hakuna hata uhusiano na Mama, bora hata Mum kwa English au hata mama kwa French)
Kiarabu sio kiswahili bro ni kibantu
Hicho nilichoandika hapo ni kiswahili tena safi kabisa.Hiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruani
Hakuna kiswahili hapo ni sawa na mchina aandike kichina aseme ni English, unachosha [emoji57]
Kwani aliekuambia wabantu hawapo mwambao nani? Waarabu walivyokuja hawakuwakuta watu mwambao?Kwahiyo lugha ya Kishona ipo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki ? Shona asili yake ni Afrika kusini na haina uhusiano na kiswahili. Na hapa nilipo naishi na Washona Na kama shona ni miongoni mwa lugha za mwambao mbona hao washona hawakijui kiswahili?
Nakucheka sana kwasababu hapa nilipo naishi na Washona na kila neno ninalotaja kwa kiswahili hawalijui. Neno mama pekee haliakisi. Linatamkwa na hata mtoto mchanga asiejua ni lugha gani anaongea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Ni kibantu typically, kishona ni kiswahili kwa zaidi ya 40%
Aliekwambia sisi ni wang'ang'anizi nani? Online dictionaries nyingi wametengeneza Wakenya, kutoka Lamu na Mombasa. Ninyi ambao si ving'ang'anizi kwanini mnawasema kuwa Wakenya ni wizi Kiswahili sio chao?Kwani aliekuambia wabantu hawapo mwambao nani? Waarabu walivyokuja hawakuwakuta watu mwambao?
Wabantu wapo wa kutosha mwambao na wamekua wakifanya biashara na watu wa masafa ya mbali hivyo kukuza lugha yao kabla ya Jamii yoyote kuja
Waarabu walipokuja ndio wakaongeza tu maneno kwenye lugha ya wabantu kama wahindi, waajemi, wareno, wazungu na Jamii nyingine zilivyokuja kuongeza maneno yao kwenye lugha waliyoikuta
Tatizo ni kwamba wahindi, waajemi, wareno, wazungu na wengine hswasemi kiswahili ni chao isipokuwa ninyi tu ndio ving'ang'anizi
Mkuu hili mimi nimelikalia kulisoma kwa zaidi ya miaka mitano, na hata serikali chini ya Baraza la Kiswahili Tanzania kinasisitiza kiswahili sio kiarabu bali ni kibantu na karikulam ya wizara ya elimu inafundisha hivyo mashuleniNakuunga mkono kiarabu sio kiswahili.
Wakenya wengi ni nilotics, kushets wabantu ni almost 2%Aliekwambia sisi ni wang'ang'anizi nani? Online dictionaries nyingi wametengeneza Wakenya, kutoka Lamu na Mombasa. Ninyi ambao si ving'ang'anizi kwanini mnawasema kuwa Wakenya ni wizi Kiswahili sio chao?
نون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكوHiki ulichoandika hapa ni kiarabu sio kiswahili, tukiwa wadogo tulikua tunakiita kikuruani
Hakuna kiswahili hapo ni sawa na mchina aandike kichina aseme ni English, unachosha [emoji57]
Maneno zaidi ya kiswahili kutoka kwenye lugha nyingine Portugal, ila hawesemi kiswahili ni Portugueseنون اننغانغا مش ت حف. تفت الم كجنا كصحل ن كارب. حي اكل نكب شغو ككبل ام ككتا. ن جو يكو
Hiki ndicho nilichokiandika:
"Naona unang'ang'aa macho tu hapo. Tafuta elimu kijana kiswahili ni kiarabu. Hiyo akili nakupa chagua kukubali ama kukataa. Ni juu yako."
Hauishi na washona, huwezi kuishi nao ukose kusikia maneno kedekede ya kiswahili kutoka kwaoNakucheka sana kwasababu hapa nilipo naishi na Washona na kila neno ninalotaja kwa kiswahili hawalijui. Neno mama pekee haliakisi. Linatamkwa na hata mtoto mchanga asiejua ni lugha gani anaongea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Ni kweli tunapoteza muda kwasababu hakuna hata lugha moja ya kibantu inayopatikana Tanzania inaweza kuandikika kwa 20% inayoshabihiana na ndio maana unaleta lugha ambazo sio asili yake kupatikana Tanzania, wakati kiswahili kimezaliwa maeneo ya mwambao.Mkuu hili mimi nimelikalia kulisoma kwa zaidi ya miaka mitano, na hata serikali chini ya Baraza la Kiswahili Tanzania kinasisitiza kiswahili sio kiarabu bali ni kibantu na karikulam ya wizara ya elimu inafundisha hivyo mashuleni
Hawa wanaongea bila supportive yoyote, wanapoteza tu muda
Unaanza ubaguzi sasa, kwahiyo Wakenya sio wabantu! Mwisho utasema na makabila mengi Tanzania sio Wabantu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Wakenya wengi ni nilotics, kushets wabantu ni almost 2%
Hata kama ukisikia haimanishi tafsiri ndio sawa kama ilivyo kwenye kiswahili.Hauishi na washona, huwezi kuishi nao ukose kusikia maneno kedekede ya kiswahili kutoka kwao View attachment 1620637
LOL kwani mwambao ni uarabuni? Mwambao sio kwa wabantu?Ni kweli tunapoteza muda kwasababu hakuna hata lugha moja ya kibantu inayopatikana Tanzania inaweza kuandikika kwa 20% inayoshabihiana na ndio maana unaleta lugha ambazo sio asili yake kupatikana Tanzania, wakati kiswahili kimezaliwa maeneo ya mwambao.
Tatizo unachangia hii mada kwa kutumia mihemko badala ya professional facts, mimi sijadili kimihemko ili kushinda bali naongelea vitu vilivyofanyiwa Utafiti na wasomi wakubwa ulimwenguni na hasa waafrika, sababu history halisi ya muafrica huwezi kupata kwa mzungu au muarabu lazima wavutie kwao.Unaanza ubaguzi sasa, kwahiyo Wakenya sio wabantu! Mwisho utasema na makabila mengi Tanzania sio Wabantu![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]