Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Ina maana hicho kilugha chake sio kibantu?Weka na kwa Kikurya maneno hayo hayo aliyotamka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hicho kilugha chake sio kibantu?Weka na kwa Kikurya maneno hayo hayo aliyotamka!
Kuna mfano wa moja wapo iliopo madukani saivi kwa Kiswahili?Kutoka kiwandani kabisa, kwani simu wanatengeneza BAKITA?
Hicho ni Kibantu! Ila Kiswahili siyo Kibantu mzee!! Kiswahili siyo lugha mama kwake!Ina maana hicho kilugha chake sio kibantu?
Aisee!! Kuna TV nilinunua tangu 2013, ina kiswahili ndani. Kwenye format za lugha. Simu nyingi za nokia, vitochi n.k zina kiswahili ndani. Na vifaa vingine tele, inamaana hukuwahi kujua hilo?Kuna mfano wa moja wapo iliopo madukani saivi kwa Kiswahili?
Sasa kuna tofauti ipi kati ya maneno yaliopo kwenye kilugha chake na kwenye kiswahili?Hicho ni Kibantu! Ila Kiswahili siyo Kibantu mzee!! Kiswahili siyo lugha mama kwake!
Sawa.Aisee!! Kuna TV nilinunua tangu 2013, ina kiswahili ndani. Kwenye format za lugha.
Kwenye hayo maneno yake kuna viambishi "nga" je kwenye kiswahili kuna viambishi hivyo?Sasa kuna tofauti ipi kati ya maneno yaliopo kwenye kilugha chake na kwenye kiswahili?
Huoni maneno ya kiswahili yametokea kwenye hicho kilugha chake kabisa copyright?
Ulishawahi kusikia hiviKwenye hayo maneno yake kuna viambishi "nga" je kwenye kiswahili kuna viambishi hivyo?
Chief naamini hatuelewani.....Ulishawahi kusikia hivi
[emoji117] kama ningejua niNGAlikuambia
[emoji117] Ungeefika uNGAlipata
[emoji117] Ningekua aliNGAliona
'nga' mbona zipo nyingi tu kwenye kiswahili
Chief unakwama wapi? Matumizi yake kwa hapo ni tofauti na matumizi ya kwenye kiswahili. Kwenye kiswahili ni kiambishi kinachoonesha wakati uliopita, sasa hapo anamaanisha muda uliopo kuwa ameshtuka machale yamemcheza.Ulishawahi kusikia hivi
[emoji117] kama ningejua niNGAlikuambia
[emoji117] Ungeefika uNGAlipata
[emoji117] Ningekua aNGAliona
'nga' mbona zipo nyingi tu kwenye kiswahili
Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahiliChief unakwama wapi? Matumizi yake kwa hapo ni tofauti na matumizi ya kwenye kiswahili. Kwenye kiswahili ni kiambishi kinachoonesha wakati uliopita, sasa hapo anamaanisha muda uliopo kuwa ameshtuka machale yamemcheza.
Kiarabu kiko kamili kinajitegemea kina Irabu zake, mi ningeona umefanya la maana kama hata hiyo ngashtuka ingeiandika kwa irabu zake pasipo kutumia za kiswahili! [emoji2954][emoji2954][emoji2954][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahili
Sasa hapa hata hueleweki upo upande gani? Unacholalama hapa nini hasa?
Mfano uliotoa hauna ulingnifu. Faqat.Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahili
Sasa hapa hata hueleweki upo upande gani? Unacholalama hapa nini hasa?
Kuwa na lugha inayotegemea lugha nyingine ili iweze kusomeka na kuandikika ni useless! Kwanini hizo lugha hazina irabu zake? Andika kwa kutumia irabu zake basi.Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahili
Sasa hapa hata hueleweki upo upande gani? Unacholalama hapa nini hasa?
Nitaandikaje kwa irabu zenu wakati irabu za kiswahili na kiarabu ni usiku na mchana?Kiarabu kiko kamili kinajitegemea kina Irabu zake, mi ningeona umefanya la maana kama hata hiyo ngashtuka ingeiandika kwa irabu zake pasipo kutumia za kiswahili! [emoji2954][emoji2954][emoji2954][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sio hauna ulinganifu, Hauna uhusiano na KibantuMfano uliotoa hauna ulingnifu. Faqat.
Sio tatizo ni usiku na mchana bali hujui.... Ndio maana.Nitaandikaje kwa irabu zenu wakati irabu za kiswahili na kiarabu ni usiku na mchana?
View attachment 1620763
Kwani hayo maneno niliyoandika hayana vowels?Kuwa na lugha inayotegemea lugha nyingine ili iweze kusomeka na kuandikika ni useless! Kwanini hizo lugha hazina irabu zake? Andika kwa kutumia irabu zake basi.
Ningejua ningekwenda
كنت أعلم أنني سأذهب
تَتَيذ حجواويSio hauna ulinganifu, Hauna uhusiano na Kibantu
Ni kweli sijui kabisa kiarabu japo kiswahili nakijua kindakindakiSio tatizo ni usiku na mchana bali hujui.... Ndio maana.