Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Kuna mfano wa moja wapo iliopo madukani saivi kwa Kiswahili?
Aisee!! Kuna TV nilinunua tangu 2013, ina kiswahili ndani. Kwenye format za lugha. Simu nyingi za nokia, vitochi n.k zina kiswahili ndani. Na vifaa vingine tele, inamaana hukuwahi kujua hilo?
 
Hicho ni Kibantu! Ila Kiswahili siyo Kibantu mzee!! Kiswahili siyo lugha mama kwake!
Sasa kuna tofauti ipi kati ya maneno yaliopo kwenye kilugha chake na kwenye kiswahili?

Huoni maneno ya kiswahili yametokea kwenye hicho kilugha chake kabisa copyright?
 
Kwenye hayo maneno yake kuna viambishi "nga" je kwenye kiswahili kuna viambishi hivyo?
 
Ulishawahi kusikia hivi

👉 kama ningejua niNGAlikuambia
👉 Ungeefika uNGAlipata
👉 Ningekua aNGAliona

'nga' mbona zipo nyingi tu kwenye kiswahili
 
Ulishawahi kusikia hivi

[emoji117] kama ningejua niNGAlikuambia
[emoji117] Ungeefika uNGAlipata
[emoji117] Ningekua aliNGAliona

'nga' mbona zipo nyingi tu kwenye kiswahili
Chief naamini hatuelewani.....
 
Ulishawahi kusikia hivi

[emoji117] kama ningejua niNGAlikuambia
[emoji117] Ungeefika uNGAlipata
[emoji117] Ningekua aNGAliona

'nga' mbona zipo nyingi tu kwenye kiswahili
Chief unakwama wapi? Matumizi yake kwa hapo ni tofauti na matumizi ya kwenye kiswahili. Kwenye kiswahili ni kiambishi kinachoonesha wakati uliopita, sasa hapo anamaanisha muda uliopo kuwa ameshtuka machale yamemcheza.
 
Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahili

Sasa hapa hata hueleweki upo upande gani? Unacholalama hapa nini hasa?
 
Kiarabu kiko kamili kinajitegemea kina Irabu zake, mi ningeona umefanya la maana kama hata hiyo ngashtuka ingeiandika kwa irabu zake pasipo kutumia za kiswahili! [emoji2954][emoji2954][emoji2954][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mfano uliotoa hauna ulingnifu. Faqat.
 
Ungechopaswa kufanya wewe ni kuleta sasa sentence hiyo hiyo kwa maneno kutoka kiarabu ili sasa ndio tupime ulinganifu wa kibantu na kiarabu katika kiswahili

Sasa hapa hata hueleweki upo upande gani? Unacholalama hapa nini hasa?
Kuwa na lugha inayotegemea lugha nyingine ili iweze kusomeka na kuandikika ni useless! Kwanini hizo lugha hazina irabu zake? Andika kwa kutumia irabu zake basi.
Ningejua ningekwenda
كنت أعلم أنني سأذهب
 
Kiarabu kiko kamili kinajitegemea kina Irabu zake, mi ningeona umefanya la maana kama hata hiyo ngashtuka ingeiandika kwa irabu zake pasipo kutumia za kiswahili! [emoji2954][emoji2954][emoji2954][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Nitaandikaje kwa irabu zenu wakati irabu za kiswahili na kiarabu ni usiku na mchana?

images (1).png
 
Kuwa na lugha inayotegemea lugha nyingine ili iweze kusomeka na kuandikika ni useless! Kwanini hizo lugha hazina irabu zake? Andika kwa kutumia irabu zake basi.
Ningejua ningekwenda
كنت أعلم أنني سأذهب
Kwani hayo maneno niliyoandika hayana vowels?
 
Back
Top Bottom