Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

Huu ni upupu na upotoshaji wa kiwango cha lami.
Hoja kuu ni moja tu, UTII WA SHERIA BILA SHURUTI. ukienda kinyume na sheria na kanuni zinavyotaka na kuongoza utachukuliwa hatua stahiki kwa maana hakuna namna. Utalipwa juu ya kile unachostahili kulipwa.
 
Hiyo adhabu haikubaliki na Hilo genge la maharamia wa CCM walioficha kwenye mgongo wa tume dawa yao inachemka.

Soon watalia kilio cha mbwa Koko.
Dawa kuu ni ICC tu wakae jela kwani wanaenda kusababisha machafuko Nchini
 
Sheria kwa upande mmoja? Wao Tume tayari wamevunja Sheria kwa kujiteua makada wa ccm watupu kujibatiza ni Tume,
 
Sheria kwa upande mmoja? Wao Tume tayari wamevunja Sheria kwa kujiteua makada wa ccm watupu kujibatiza ni Tume,
Kila mtu ana haki ya kuteuliwa na kuchaguliwa, kwani Anna Mgwira wakati anateuliwa alikuwa ni CCM?
Na sheria sio kwa upande mmoja tu, ipo applicable kote, sema upinzani ndio mnaoongoza kuvunja sheria na nyie ndio wa kwanza kulia lia na kulalamika, mkiambiwa msifanye hivi mna kaidi, mkimabiwa msifanye vile mna kaidi.
 
Wewe ni wakupuuzw maana unamzungumzia vitu vya abunuasi. Wagombea wa CCM hawahitaji kutumia nguvu kubwa Kama aitumiayo LISSU. Nyie kaeni na kuilaumu tume badala ya kujipanga maana Ilani hatuisikii ikiimbwa majukwaani zaidi ya hii.

Mwisho wa siku wananchi watawahukumu halafubmtafute mchawi.
 
Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi

Lisu ana kiburi na hufanya kusudi

Tume imefanya vyema sana

Mamlaka nyingine nazo zinatakiwa kufanya kama tume (kuchukua hatua kali dhidi ya mgombea na penye ulazima kwa chama kizima)
Pole sana. Kama mlimshindwa kwa risasi mtamuweza kwenye majukwaa?? Harujawahi kuwa na Kiongozi Katili kama alivyo huyu. Ndiyo maana watu wanahoji juu ya uraia wake.
 
Majaji wanaoheshimika! Majaji wanaoheshimika wasingemfunga Mbowe, Sugu na wenzao bila kosa, kisha mahakama inathibitisha kifungo hakikuwa halali! Aibu.
 
Tume ya taifa na Kamati ya maadili.

 
CCM haichaguliki
 
Mbona kama umepaniki!! Mnajisikiaje kubebwa na Tbccm, policcm, necccm, habari leoccm, tcraccm, nk?

Pamoja na kubebwa kote huko, lakini bado mnanyooshwa na kiumbe mmoja tu anayeitwa Tundu Lissu!!
They have been cornered
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…