Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

HUkumu ya kesi hii ni mtihani kwa majaji dhidi ya Taifa na wananchi mmojammoja kwakuwa itatumika kuhukumu watu wengine watakaofanya kama alivyofanya Lissu na chadema. Itatumika pia kulikinga au kulihatarisha Taifa na uharibifu kama ule usitokee au utokee tena kwa mbinu zile.za trh 3 April 2025 na Oct29, 2025. Yaani kusema na kufanya vile ni kosa au sio kosa kwa Taifa.

The principles of Positive and Negative reinforcement apply.

Hukumu ndio itatongoza kuona huko mbele kutakuwaje.

Mungu ibariki Tanzania
Majaji inabidi waji sacrife kuliokoa Taifa hili huu mzani ushaielemea jamuhuri TAL aliwaambie pale kisutu tusifungue Pandora box tunakoelekea nikubaya huko wakakaidi
 
Hata Lissu kama angekua amesema tu kauli ile bila watu kwenda kutekeleza kama alivyosema angekuwa amesema tu kama alivyosema Nyerere. Pia Lissu aliongeza tone ya sauti, seriousness na maneno kama kukinukisha vibaya sana, kuzuia uchaguzi ambayo Nyerere hakusema. Baada ya Lissu kusema vile na kukamatwa na Heche na Mnyika nao wakayaendeleza kwa msisitizo zaidi wa adhima ya kauli ya Lissu ya kuasi, kuninukisha na kuvuruga uchaguzi. Hata hivyo hakuna ushahidi kama walienda kuchoma kweli.

wewe ni mpumbavu mmeua watu mnatafuta wakumpa lawama watanzania sio wajinga kama unavyodhania
 
Sasa Kwa muktadha wa kesi hii, Lissu anahusika vipi kwa yaliyotokea 29Oktoba?
As long as kasema na ikatendeka lazima mahusiano yapo hata kama sio casual. Yeye kusema ukweli wa Mungu alimaanisha kile kilichotokea 29 Oct, no doubt. Upande wa utetezi wanachojaribu kufanya pale mahakamani ni kutafupa mapungufu ya kisheria ya kumuepusha na matukio yale. Sio kama akihukumiwa atakuwa ameonewa kivilee!!. Upande wa mashitaka wanapambana kuonyesha namna lissu anavyohusika na nia ya kuasi. Kama angekuwa mm ningemuachia na kumkamata tena kwa kesi nyingine na ushahidi mwingine kama ninao.
 
As long as kasema na ikatendeka lazima mahusiano yapo hata kama sio casual. Yeye kusema ukweli wa Mungu alimaanisha kile kilichotokea 29 Oct, no doubt.
Hapa umeongea kama mwana CCM anayetamani Lissu afungwe au anyongwe.
 
Shida ya kesi hii iko pale ambapo ni kweli miundombinu iliharibiwa na kweli watu walikufa. Kwavyovyote vile aliyeharibu lazima ahukumiwe na aliyeua lazima ahukumiwe. Huko mbele ya safari hatutaki Taifa lichomwe tena na watu wauliwe tena. Hii kesi ina jukumu la kuhakikisha hilo. Kama mtu anasema tutafanya hivi na kweli watu wakafanya hivyo, kutafuta association hapo ya causal and effect sio kazi nyepesi. Maana mimi kwenye ugomvi wangu na wewe naweza kukuambia wewe kuwa lazima nitakuua, lakini wakati ninakuambia hivyo kulikuwa na mtu mwingine pembeni ambae unatembea na mke wake anakuwinda akuue pia aliyenisikia mimi nikikwambia kuwa nitakuua. Baada ya kunisikia mimi nikikwambia nitakuua, yeye akawahi kukua ili wewe uliyesema hadharani kuwa utamuua ukamatwe wewe. Sasa kujua kama Lissu ndiye aliyeagiza uchomaji, uuwaji wa polisi na ukataji vidole watu kunahitaji ushahidi ulioshiba kwelikweli. Yaani sio kila anaevuta sigara lazima atapata kansa ya koo.
Mkuu kesi unaifuatulia inavyoenda?
 
Ok....lakini ukifuatilia mwenendo wa kesi serikali haijaongelea yaliyotokea Oktoba 29, na serikali imeyakwepa kwasababu wanafahamu wakienda huko nini kitatokea

Wewe utakuwa hujafuatilia sessions zote za kesi, neno kwa neno...

Katuga na mawakili wengine wametaja sana matukio ya MO29 na athari zake wakizihusianisha na kauli za Lissu...
 
Ndiyo maana nasema kuthibisha maneno yake na uchomaji vituo vya polisi ni kazi nzito, pengine kunahitaji mashitaka mapya. Kwa kesi hii alipaswa kushitakiwa kwa kesi ya uchochezi.

Kamchochea nani wakati matamshi aliyatoa kwenye hadhara ndogo ya vikao vya ndani vya chama chake?

Na kizibiti cha matamshi hayo ni video iliyopo Youtube ambayo haijachapishwa na Lissu...
 
Hapa umeongea kama mwana CCM anayetamani Lissu afungwe au anyongwe.
Hapana, Lissu sina ugomvi nae binafsi kiasi cha kutamani anyongwe, lakini aliyasema yale maneno kwa kumaanisha yatokee kama vile yalivyotokea. Hata baada ya yeye kuwekwa mahabusu lakini hata wasaidizi wake walitembea mulemule kwenye maneno yake kuonyesha hayakuwa maneno ya Lissu tu bali chama. Shida iko tu kwenye ku establish kosa.
 
Watanganyika punguzeni mihemko, kwa ushahidi uliotolewa na Jamuhuri hauna uzito wa kumuhukumu mtu kunyongwa japo Sa100 na Serikali yake wanaonekana kutumia nguvu kubwa kufanikisha hilo, Majaji wamepewa mtihani kwenye hilo la kutoa uamuzi, ni either wasimamie haki ambayo Lisu anatakiwa kuachiwa huru na pengine kulipwa fidia ya kusota jela au au wapindishe haki ili kumlinda Sa100 na watu wake dhidi ya mauaji ya Oktoba 2025.

All in all Serikali ya Sa100 wakitaka kupima nguvu ya Lisu na Ulimwengu basi wamuhukumu Lisu adhabu ya kifo.
Para ya mwisho usijipe auheni na penye hamna, labda Mataifa ya nje yaingilie kati, ila km ni sisi humu ndani hakuna tutakachofanya.

Mauaji ya Oct 29
Pole pole
Nchimbi
Na wengineo kina kibao, soka, shauri,

Achilia wa kuminywa kina Tulia, mmmh
 
Kamchochea nani wakati matamshi aliyatoa kwenye hadhara ndogo ya vikao vya ndani vya chama chake?

Na kizibiti cha matamshi hayo ni video iliyopo Youtube ambayo haijachapishwa na Lissu...
Unaposema mbele ya waandishi wa habari maana yake unadhamiria taarifa yako iwafikie watu wengi wasiokuwepo kwenye mkutano wako hata kama ni mkutano wa ndani. Kule UN wajumbe wako ndani ya ukumbi lakini waandishi habari wanatufikishia sisi nani kasema nini mkutanoni. Kama hutaki hotuba yako itoke nje una mambo 2 tu ya kufanya ambayo ni kuwatoa nje waandishi wote au kunyamaza waandishi wasipate cha kuandika au kurusha hewani

View: https://youtu.be/JGrye4kQEFk?si=dTkmgypt3hOlKpeP
 
Umejipiga chenga ya mwili. hujui sheria kaa ujifunze. ''Maneno matupu hayavunji mfupa''. Hicho kilichotokea mo29 mwenye kosa ni yule alieamrisha askari waue kwa hisia zisizo za kweli.
 
Para ya mwisho usijipe auheni na penye hamna, labda Mataifa ya nje yaingilie kati, ila km ni sisi humu ndani hakuna tutakachofanya.

Mauaji ya Oct 29
Pole pole
Nchimbi
Na wengineo kina kibao, soka, shauri,

Achilia wa kuminywa kina Tulia, mmmh

Umejipiga chenga ya mwili. hujui sheria kaa ujifunze. ''Maneno matupu hayabunji mfupa''. Hicho kilichotokea mo29 mwenye kosa ni yule alieamrisha askari waue kwa hisia zisizo za kweli.
Duu!! Unawaingiza chaka wasomaji wako!! Eti maneno matupu yavunji mfupa kasema nani, hebu tukuna hapo kama hutahukumiwa halafu useme ni manenp tu.

Msifanye utani na ushabiki, nchi ilichomwa kweli, polisi waliuliwa kweli, ofisi za serikali na nyaraka zake zilichomwa kweli, mwendokasi ulichomwa kweli.

Kama ukiua askari moja kwa moja umedhamiria kumuua Rais kwakuwa askari ndio wanamlinda Rais na dola. Kaka unaweza kudhani ni ushabiki tu lakini sheria ina kazi ya kulinda Taifa badala ya mtu. Sheria ina jukumu la kutoa adhabu itakakayotoa fundisho kwa kila mtu atakaetaka kuua polisi, kukata watu vidole, na kuasi.
 
Duu!! Unawaingiza chaka wasomaji wako!! Eti maneno matupu yavunji mfupa kasema nani, hebu tukuna hapo kama hutahukumiwa halafu useme ni manenp tu.
Tupo katika kifungu kinachofafanua kosa la, na sheria yauhaini. Nikisema wewe chizi, kanishtaki nimetenda kosa la uhaini.
 
Msikilize vizuri na kwa makini, halafu useme hahusiki kwalolote anaonewa!! Hapana hapana hapana; kwanza alijua kila kitu kitakachowapata baada ya kukinukisha na kuasi kuwa wataumia na watakufa, pamoja na kujua hayo yote aliwahakikishia pasina shaka kuwa lazima watashinda; wataiangusha serikali na hatimae kupata mabadiliko ambayo ambayo wameshindwa kuyapata miaka yote kwa njia ya kura. Kama ukimsikiliza vizuri hata ile hotuba ilikuwa ni kwaajili ya yeye kukamatwa ili siku ya kukinukisha asiwepo mstari wa mbele wa vurugu za kukinukisha bibaya sana. Na viongozi wengine akina Heche walitafuta njia nyingine za kukamatwa ili pia wasiwepo mstari wa mbele siku ya tukio. Wakaachwa wajinga wajeruhiwe na kuuliwa wakati wa uasi kama alivyosema Lissu.

View: https://youtu.be/JGrye4kQEFk?si=dTkmgypt3hOlKpeP
 
Tupo katika kifungu kinachofafanua kosa la, na sheria yauhaini. Nikisema wewe chizi, kanishtaki nimetenda kosa la uhaini.
Hapo utakuwa umetenda kosa gani?

Unaposema utakwenda kuvuruga uchaguzi hapo utakuwa umemtishia yule aliyeandaa uchaguzi, aliyegharamia uchaguzi, wagombea wote, wanaolinda uchaguzi na wanaosimamia uchaguzi. Kwahiyo serikali ilikuwa anawaza watafanye kuzuia uchaguzi usivurugwe, ni kosa .
 
Nikuambie kitu, mngemvizia Lisu siku hiyo ya Mo29 aandamane mtaani ndio hicho unachosema labda kingekuwa na uzito. Sasa hakuwepo mtaani. Sasa Tuipe muda mahakama ifafanue, tutarejea kwenye hili
 
Back
Top Bottom