mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Angeshtakiwa kwa kuchochea vikundi vya vijana na kusababisha machafuko ya tarehe 30 oktoba ... mahala na muda vitajwe. Hapa vipengele vya shtaka angalau vingeikidhi viwango kwa mujibu wa kanuni. Machafuko ya oct 2026 yalihusu pia mfumo,mashirika ya dini, nje ya nchi, ccm,chadema,kanisa la Gwajima,GENZ kwa ujumla na sababu au vyanzo vyake vilitajwa na Chande. Maneno tu kwenye majukwaa ya kisiasa hayatoshi kumtia hatiani mtu angalia kauli ya kada wa kagera "tukiwapoteza msiwapoteze" mwingine " huko polini tunajua tunavyowafanya" nk kwa nini hizi kauli zisiwafanye wakamatwe.