Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

Majaji inabidi waji sacrife kuliokoa Taifa hili huu mzani ushaielemea jamuhuri TAL aliwaambie pale kisutu tusifungue Pandora box tunakoelekea nikubaya huko wakakaidi
 

wewe ni mpumbavu mmeua watu mnatafuta wakumpa lawama watanzania sio wajinga kama unavyodhania
 
Sasa Kwa muktadha wa kesi hii, Lissu anahusika vipi kwa yaliyotokea 29Oktoba?
As long as kasema na ikatendeka lazima mahusiano yapo hata kama sio casual. Yeye kusema ukweli wa Mungu alimaanisha kile kilichotokea 29 Oct, no doubt. Upande wa utetezi wanachojaribu kufanya pale mahakamani ni kutafupa mapungufu ya kisheria ya kumuepusha na matukio yale. Sio kama akihukumiwa atakuwa ameonewa kivilee!!. Upande wa mashitaka wanapambana kuonyesha namna lissu anavyohusika na nia ya kuasi. Kama angekuwa mm ningemuachia na kumkamata tena kwa kesi nyingine na ushahidi mwingine kama ninao.
 
As long as kasema na ikatendeka lazima mahusiano yapo hata kama sio casual. Yeye kusema ukweli wa Mungu alimaanisha kile kilichotokea 29 Oct, no doubt.
Hapa umeongea kama mwana CCM anayetamani Lissu afungwe au anyongwe.
 
Mkuu kesi unaifuatulia inavyoenda?
 
Ok....lakini ukifuatilia mwenendo wa kesi serikali haijaongelea yaliyotokea Oktoba 29, na serikali imeyakwepa kwasababu wanafahamu wakienda huko nini kitatokea

Wewe utakuwa hujafuatilia sessions zote za kesi, neno kwa neno...

Katuga na mawakili wengine wametaja sana matukio ya MO29 na athari zake wakizihusianisha na kauli za Lissu...
 
Ndiyo maana nasema kuthibisha maneno yake na uchomaji vituo vya polisi ni kazi nzito, pengine kunahitaji mashitaka mapya. Kwa kesi hii alipaswa kushitakiwa kwa kesi ya uchochezi.

Kamchochea nani wakati matamshi aliyatoa kwenye hadhara ndogo ya vikao vya ndani vya chama chake?

Na kizibiti cha matamshi hayo ni video iliyopo Youtube ambayo haijachapishwa na Lissu...
 
Hapa umeongea kama mwana CCM anayetamani Lissu afungwe au anyongwe.
Hapana, Lissu sina ugomvi nae binafsi kiasi cha kutamani anyongwe, lakini aliyasema yale maneno kwa kumaanisha yatokee kama vile yalivyotokea. Hata baada ya yeye kuwekwa mahabusu lakini hata wasaidizi wake walitembea mulemule kwenye maneno yake kuonyesha hayakuwa maneno ya Lissu tu bali chama. Shida iko tu kwenye ku establish kosa.
 
Para ya mwisho usijipe auheni na penye hamna, labda Mataifa ya nje yaingilie kati, ila km ni sisi humu ndani hakuna tutakachofanya.

Mauaji ya Oct 29
Pole pole
Nchimbi
Na wengineo kina kibao, soka, shauri,

Achilia wa kuminywa kina Tulia, mmmh
 
Kamchochea nani wakati matamshi aliyatoa kwenye hadhara ndogo ya vikao vya ndani vya chama chake?

Na kizibiti cha matamshi hayo ni video iliyopo Youtube ambayo haijachapishwa na Lissu...
Unaposema mbele ya waandishi wa habari maana yake unadhamiria taarifa yako iwafikie watu wengi wasiokuwepo kwenye mkutano wako hata kama ni mkutano wa ndani. Kule UN wajumbe wako ndani ya ukumbi lakini waandishi habari wanatufikishia sisi nani kasema nini mkutanoni. Kama hutaki hotuba yako itoke nje una mambo 2 tu ya kufanya ambayo ni kuwatoa nje waandishi wote au kunyamaza waandishi wasipate cha kuandika au kurusha hewani


View: https://youtu.be/JGrye4kQEFk?si=dTkmgypt3hOlKpeP
 
Umejipiga chenga ya mwili. hujui sheria kaa ujifunze. ''Maneno matupu hayavunji mfupa''. Hicho kilichotokea mo29 mwenye kosa ni yule alieamrisha askari waue kwa hisia zisizo za kweli.
 
Para ya mwisho usijipe auheni na penye hamna, labda Mataifa ya nje yaingilie kati, ila km ni sisi humu ndani hakuna tutakachofanya.

Mauaji ya Oct 29
Pole pole
Nchimbi
Na wengineo kina kibao, soka, shauri,

Achilia wa kuminywa kina Tulia, mmmh

Umejipiga chenga ya mwili. hujui sheria kaa ujifunze. ''Maneno matupu hayabunji mfupa''. Hicho kilichotokea mo29 mwenye kosa ni yule alieamrisha askari waue kwa hisia zisizo za kweli.
Duu!! Unawaingiza chaka wasomaji wako!! Eti maneno matupu yavunji mfupa kasema nani, hebu tukuna hapo kama hutahukumiwa halafu useme ni manenp tu.

Msifanye utani na ushabiki, nchi ilichomwa kweli, polisi waliuliwa kweli, ofisi za serikali na nyaraka zake zilichomwa kweli, mwendokasi ulichomwa kweli.

Kama ukiua askari moja kwa moja umedhamiria kumuua Rais kwakuwa askari ndio wanamlinda Rais na dola. Kaka unaweza kudhani ni ushabiki tu lakini sheria ina kazi ya kulinda Taifa badala ya mtu. Sheria ina jukumu la kutoa adhabu itakakayotoa fundisho kwa kila mtu atakaetaka kuua polisi, kukata watu vidole, na kuasi.
 
Duu!! Unawaingiza chaka wasomaji wako!! Eti maneno matupu yavunji mfupa kasema nani, hebu tukuna hapo kama hutahukumiwa halafu useme ni manenp tu.
Tupo katika kifungu kinachofafanua kosa la, na sheria yauhaini. Nikisema wewe chizi, kanishtaki nimetenda kosa la uhaini.
 
Msikilize vizuri na kwa makini, halafu useme hahusiki kwalolote anaonewa!! Hapana hapana hapana; kwanza alijua kila kitu kitakachowapata baada ya kukinukisha na kuasi kuwa wataumia na watakufa, pamoja na kujua hayo yote aliwahakikishia pasina shaka kuwa lazima watashinda; wataiangusha serikali na hatimae kupata mabadiliko ambayo ambayo wameshindwa kuyapata miaka yote kwa njia ya kura. Kama ukimsikiliza vizuri hata ile hotuba ilikuwa ni kwaajili ya yeye kukamatwa ili siku ya kukinukisha asiwepo mstari wa mbele wa vurugu za kukinukisha bibaya sana. Na viongozi wengine akina Heche walitafuta njia nyingine za kukamatwa ili pia wasiwepo mstari wa mbele siku ya tukio. Wakaachwa wajinga wajeruhiwe na kuuliwa wakati wa uasi kama alivyosema Lissu.

View: https://youtu.be/JGrye4kQEFk?si=dTkmgypt3hOlKpeP
 
Tupo katika kifungu kinachofafanua kosa la, na sheria yauhaini. Nikisema wewe chizi, kanishtaki nimetenda kosa la uhaini.
Hapo utakuwa umetenda kosa gani?

Unaposema utakwenda kuvuruga uchaguzi hapo utakuwa umemtishia yule aliyeandaa uchaguzi, aliyegharamia uchaguzi, wagombea wote, wanaolinda uchaguzi na wanaosimamia uchaguzi. Kwahiyo serikali ilikuwa anawaza watafanye kuzuia uchaguzi usivurugwe, ni kosa .
 
Nikuambie kitu, mngemvizia Lisu siku hiyo ya Mo29 aandamane mtaani ndio hicho unachosema labda kingekuwa na uzito. Sasa hakuwepo mtaani. Sasa Tuipe muda mahakama ifafanue, tutarejea kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…