mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Tz imekuwa na Majaji wa hovyo sanaHUkumu ya kesi hii ni mtihani kwa majaji dhidi ya Taifa na wananchi mmojammoja kwakuwa itatumika kuhukumu watu wengine watakaofanya kama alivyofanya Lissu na chadema. Itatumika pia kulikinga au kulihatarisha Taifa na uharibifu kama ule usitokee au utokee tena kwa mbinu zile.za trh 3 April 2025 na Oct29, 2025. Yaani kusema na kufanya vile ni kosa au sio kosa kwa Taifa.
The principles of Positive and Negative reinforcement apply.
Hukumu ndio itatongoza kuona huko mbele kutakuwaje.
Mungu ibariki Tanzania
Uzito wa ushahidi hauna maana sana hapa kwakuwa tayari maslahi ya umma yameingiliwa na watuhumiwa, lazima kuna mtu aliyeyaharibu na hakuna mshukukiwa mwingine wa uhalifu anaeweza kufanya aina ya uhalifu ule. Utakuwa ujinga kama Jaji atasema hakuna mkosaji. Maana uhalifu uliotokea hauwezi kuwa umesababishwa na natural disaster, ni man made, na hakuna mshukiwa zaidi ya mmoja.Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake' Jaji Ndunguru
Kasema hata kama mimi nitawekwa ndani kwa kukinukisha hapa nyie endeleeni na zoezi la kuuvuruga uchaguzi. Alijua kile alichokisema pale kitasababisha yeye akamatwe. Lakini kashatoa maagizo watu waendelee, na Hende kama msaidizi wake mkuu nae akakishika kijiti cha kuuvuruga uchaguzi, Mnyika nae hivyohivyo na viongozi wengine. Hii ya kusema Lissu alikuwa ndani ni upuuzi wa kumtosha mtu kuwa mjinga.Wapi alisema mkachome vitu au kuuana? Kuna sehemu yoyote Lissu alitoa maneno kuwa polisi waue raia? Kuna sehemu alisema watu wachome vitu?
Yeye aligusia uchaguzi ambao kwa mujibu wa tume ni uchaguzi uliovunja rekodi ya watu kupiga kura na haijawahi kutokea. Sasa huo uliovurugika ni upi? Au mlipika data enyi mahayawani?
Uhalifu gani huo uliotokea?Uzito wa ushahidi hauna maana sana hapa kwakuwa tayari maslahi ya umma yameingiliwa na watuhumiwa, lazima kuna mtu aliyeyaharibu na hakuna mshukukiwa mwingine wa uhalifu anaeweza kufanya aina ya uhalifu ule. Utakuwa ujinga kama Jaji atasema hakuna mkosaji. Maana uhalifu uliotokea hauwezi kuwa umesababishwa na natural disaster, ni man made, na hakuna mshukiwa zaidi ya mmoja.
Mahakama haiendeshwi kwa hisia au maagizo kama mahakama hizi za bongoUzito wa ushahidi hauna maana sana hapa kwakuwa tayari maslahi ya umma yameingiliwa na watuhumiwa, lazima kuna mtu aliyeyaharibu na hakuna mshukukiwa mwingine wa uhalifu anaeweza kufanya aina ya uhalifu ule. Utakuwa ujinga kama Jaji atasema hakuna mkosaji. Maana uhalifu uliotokea hauwezi kuwa umesababishwa na natural disaster, ni man made, na hakuna mshukiwa zaidi ya mmoja.
Hisia gani, yaani kuhakuna vituo vya kura vilivyochomwa moto kama alivyoagiza Lissu, au hujui maana ya hisia? Hiyo mahakama ya hivyo haiko nchi yoyote duniani? Yaani wahouth wa YEMEN watangaze wenyewe kuwa wataupiga ubalozi wa Marekani Saudi, baada ya miezi 2 ubalozi wa Marekani unapigwa kama walivyotangaza na hakuna mshukiwa mwingine ila Wahouth, halafu wewe unataka Marekani iseme haina ushahidi wa kuwaadhibu Wahouth kwakuwa haijawaona wakirusha. Wakati mwingine mnatete uhovyo.Mahakama haiendeshwi kwa hisia au maagizo kama mahakama hizi za bongo
Acha mihemuko kwenye hati mbovu ya mashtaka ya uhaini ya Lissu kuna neno uttering unafahamu maana yake?Hisia gani, yaani kuhakuna vituo vya kura vilivyochomwa moto kama alivyoagiza Lissu, au hujui maana ya hisia? Hiyo mahakama ya hivyo haiko nchi yoyote duniani? Yaani wahouth wa YEMEN watangaze wenyewe kuwa wataupiga ubalozi wa Marekani Saudi, baada ya miezi 2 ubalozi wa Marekani unapigwa kama walivyotangaza na hakuna mshukiwa mwingine ila Wahouth, halafu wewe unataka Marekani iseme haina ushahidi wa kuwaadhibu Wahouth kwakuwa haijawaona wakirusha. Wakati mwingine mnatete uhovyo.
Namna ya kumtambua mgonjwa wa akili ni kupata pre-morbid personality yake kwanza. Yaani kabla ya hali hii ninayomuona leo kabla ya hali hii hali/tabia/matendo/muonekano wake huko nyuma alikuwaje?
Mimi nazungumzia Uchaguzi...sizungumzii Chadema..take that point..Unaongelea ibara gani ya Katiba?
Sanasana nionavyo mimi Majaji wanaweza kumuachia Lissu lakini wakakifuta/kukisimamisha chama kwasababu ushahidi wote wa mshitakiwa umeonyesha ulikuwa ni msimamo wa chama. Yaani hata ukimnyonga Lissu chama kitaendelea na msimamo wake uleule wa kuasi, kukinukisha, kuuvuruga uchaguzi vibaya sana, kuchoma miundombinu na kukata watu vidole. Kundi la kigaidi badala ya chama cha siasa. Yaani hata maneno aliyoyasema Lissu sio yake bali yalikuwa ya chama kama vile mashahidi wa Lissu walivyothibitisha.
Kwahiyo kilichotokea oct29 hakina uhusiano wowote na hotuba ya mheshimiwa? Mkiwaza hizo mtaumia wengi kuliko wale.Acha mihemuko kwenye hati mbovu ya mashtaka ya uhaini ya Lissu kuna neno uttering unafahamu maana yake?
Unafahamu mahakama inatakiwa ithibitishe kosa bila kuacha mashaka?
Usilete hisia zako
Uchaguzi gani ulivurugika wakati mtu alipata kura milioni 31 kati ya watu milioni 32 waliojiandikisha? Hata Jiwe 2020 hakuweza kuvunja hiyo recod pamoja na makaratee yote aliyofanya ya wizi wa kura.Kasema hata kama mimi nitawekwa ndani kwa kukinukisha hapa nyie endeleeni na zoezi la kuuvuruga uchaguzi. Alijua kile alichokisema pale kitasababisha yeye akamatwe. Lakini kashatoa maagizo watu waendelee, na Hende kama msaidizi wake mkuu nae akakishika kijiti cha kuuvuruga uchaguzi, Mnyika nae hivyohivyo na viongozi wengine. Hii ya kusema Lissu alikuwa ndani ni upuuzi wa kumtosha mtu kuwa mjinga.
Kwani baba yako kama amefungwa jela hawezi kukupa maagizo ya kumuuzia ng'ombe wake? Hawezi kutoa amri ndoa isitishwe hadi atoke?
Lissu alikuwa ndani kweli, lakini alikuwa bado ni mwenyekiti wa chadema, hakuna mahali ambako amesikika akiyatengua maagizo yake ya kuuvuruga uchaguzi kwakuwa amekamatwa. Aliwahakikishia kuwa lazima watashinda kwenye movie yao na yeye atakuwa kama Mandela tu.
Kwani Taifa ni nini kama siyo mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja?Kama kuna sheria ambazo hazilindi Taifa husika, sheria hizo ni batili. na kama kuna sheria inayotoa adhabu kwa mtu ambae hana kosa sheria hiyo ni batili ifutwe.
Hata hivyo, Taifa ni kubwa kuliko watu binafsi mmojammoja au kikundi.
Nimemsikiliza vizuri. Ile ni lugha ya siasa. Ukiwa kwenye jukwaa la siasa kama lile, ukasema utaiangusha (Kuinukisha/kukinukisha) serikali hii na kuunda yako siku za mbeleni sio uhaini kima mdogo. Hili ndio lengo la chama chochote cha siasa. Ingekuwa ni kundi la watu sio chama cha siasa kilichosajiliwa ndio ungeleta ngonjera zako. Fuatilia kauli zote za kwenye majukwaa ya siasa hivi vitu sio vigeni,Msikilize vizuri na kwa makini, halafu useme hahusiki kwalolote anaonewa!! Hapana hapana hapana; kwanza alijua kila kitu kitakachowapata baada ya kukinukisha na kuasi kuwa wataumia na watakufa, pamoja na kujua hayo yote aliwahakikishia pasina shaka kuwa lazima watashinda; wataiangusha serikali na hatimae kupata mabadiliko ambayo ambayo wameshindwa kuyapata miaka yote kwa njia ya kura. Kama ukimsikiliza vizuri hata ile hotuba ilikuwa ni kwaajili ya yeye kukamatwa ili siku ya kukinukisha asiwepo mstari wa mbele wa vurugu za kukinukisha bibaya sana. Na viongozi wengine akina Heche walitafuta njia nyingine za kukamatwa ili pia wasiwepo mstari wa mbele siku ya tukio. Wakaachwa wajinga wajeruhiwe na kuuliwa wakati wa uasi kama alivyosema Lissu.
View: https://youtu.be/JGrye4kQEFk?si=dTkmgypt3hOlKpeP
In fact,
vyovyote vile itakavyo kua,
ni sheria na katiba ya Tanzania ndio atakua mshindi.
Ni vizuri sana kutii katiba ya nchi π
Nadhani ungewafafanulia wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo gentleman na ingependeza zaidi πHii hii ya faini sh.500?
Kwa hii JF hii ambayo now days imekuwa na waropokaji wengi, vyawa & light thinkers waliojawa mizaha wengi me siwezi kupoteza time.Nadhani ungewafafanulia wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo gentleman na ingependeza zaidi π
Akili yako haina tofauti na makalio ya mbuziHisia gani, yaani kuhakuna vituo vya kura vilivyochomwa moto kama alivyoagiza Lissu, au hujui maana ya hisia? Hiyo mahakama ya hivyo haiko nchi yoyote duniani? Yaani wahouth wa YEMEN watangaze wenyewe kuwa wataupiga ubalozi wa Marekani Saudi, baada ya miezi 2 ubalozi wa Marekani unapigwa kama walivyotangaza na hakuna mshukiwa mwingine ila Wahouth, halafu wewe unataka Marekani iseme haina ushahidi wa kuwaadhibu Wahouth kwakuwa haijawaona wakirusha. Wakati mwingine mnatete uhovyo.
Namna ya kumtambua mgonjwa wa akili ni kupata pre-morbid personality yake kwanza. Yaani kabla ya hali hii ninayomuona leo kabla ya hali hii hali/tabia/matendo/muonekano wake huko nyuma alikuwaje?
Ukiwa unavuta ndumu zako unadhani wewe ni Taifa. Huu ni ushahidi mwingine mdogo kuwa chadema haina uwezo wa kuongoza nchi bado. Kama mipango ni kuwakata vidole raia wako na kuchoma miundombinu yao huo ni uchanga.Kwani Taifa ni nini kama siyo mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja?
'Taifa ni kubwa'...Lina maana gani katika muktadha huu?
Taifa lililo kubwa bila mtu mmoja mmoja au watu ni ubatili.
Nadhani huna jipya, msimamo wa chadema ni sawa na msimamo wa mwenyekiti wao wakuzuia uchaguzi kwa kuchoma vituo vya kura, kukata vidole raia waliopiga kura ili kuwatisha wengine wasiende kupiga kura. Yaani kila mwanachama fanya uwezalo kuhakikisha uchaguzi unavurugika, Lissu hakusema wafanye nini ili uchaguzi uvurugike, hivyo kila mtu afanye awezalo na kweli walifanya wawezalo (free style).Kwa hii JF hii ambayo now days imekuwa na waropokaji wengi, vyawa & light thinkers waliojawa mizaha wengi me siwezi kupoteza time.
Ubaya au uzuri wa nchi hii. Mifumo imewekwa in such a way wanasiasa wanaweza kufanya mambo ya kipumbavu and get away with it huku msala wakiwaachia watendaji wa serikali walio chini yao.Kama kuna sheria ambazo hazilindi Taifa husika, sheria hizo ni batili. na kama kuna sheria inayotoa adhabu kwa mtu ambae hana kosa sheria hiyo ni batili ifutwe.
Hata hivyo, Taifa ni kubwa kuliko watu binafsi mmojammoja au kikundi.