HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

Hakushinda kesi, waliamua kumwachia tu. Hiyo kesi ukiniletea hata mimi ambaye si mwanasheria niaamue; hachomoki mtu. Angalia hapa:

Kuna hiki kitu kinaitwa "Reversal of burden of proof" ambayo sasa ilikuwa inamwangukia TL aliyepinga kuwa aliyetukanwa hakuwa Magufuli. Hapa sasa TL alitakiwa aithibitishie mahakama kwa possibly; kuwaletea mtu pale mahakamani aliyetukanwa ambaye si Rais Magufuli. Katika kujaribu ku-save janga la aina hii, possibly TL angeweza hata kwenda kuchukua mtu mtaani na kumleta pale mahakamani na kuiambia mahakama kuwa Magufuli aliyetukanwa ni huyu hapa

Waliamua kumsamehe na kumwachia, hakushinda kesi
 
 
wewe wacha bangi! Mkiongozwa na mwanamke...... hivi tanzania sasa inaongozwa na mwanamme au mwanamke? Hivi anaitwaje? Tangu kuingia madarakani watanzania wanamwitaje raisi wao? Hivi wanavyosema mama samia halafu mtu anawaambia mama yenu huwa anamaanisha mama gani hapo tena? Usijidai kuw ahujui ni nani wanaoitwa wavuka maji, kila mmoja anajua ni nani wavuka maji kama vile kila mmoja anajua ni nani vichogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…