HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

Kumbe alikashifu muungano? CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote. Hauguswi.
 
Wale mawakili wasomi tunaomba wakamkatie rufaa huyu kijana.

Kwenye issue nyeti tusiangalie chama.

Kukashifu jinsi ya kike huoni kama ni unyeti.

Kana kwamba kunyonyesha ni dhambi

Stupid of him na aendelee kufungwa tu.
 
Wanaomtetea kwny mitandao wapo na familia zao au marafiki zao wanamwagilia Moyo lakini Jamaa anapambana na familia yake na watu wake wa karibu

Vichwa tumepewa kufikiri na usipokitumia vyema kufikiri utalipia gharama yake
 
Salaam Wakuu,

Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu...
Ilitakiwa afungwe maisha huyo
 
Wale mawakili wasomi tunaomba wakamkatie rufaa huyu kijana.

Kwenye issue nyeti tusiangalie chama.
Nasikia ni Member humu sijui ID yake inaitwaje

Tena utakuta hao ndio Sukuma gang ambao hupenda kuona Chadema wakiteswa hata kufurahia shambulizi la Lissu.

Anyway wamkatie rufaa.
 
Mimi hao tu walioscreenshot,sasa wamegain nini mwenzao kufungwa ?Kuna watu wana roho mbaya jamani.
 
Akipata mawakili wazuri,asubuhi tu!

Mama yenu ndiyo Rais?
 
Unataka mpaka kuwe na name calling ndio uone kosa?

Hapo ipo wazi alikuwa akimwongelea mh rais Mia!!!

Kuwa mkweli bwana.
Sheria haipo hivyo. Unakumbuka yule bwana aliyeshinda kesi kwa kosa la kumsema vibaya Magufuli? Alimwandika JPM. Na mahakama kuu ikaridhika kuwa JPM hajulikani ni nani. Ndiyo maana ya kusema kuwepo na ushahidi usiotia shaka ya aina yoyote.
 
Nasikia ni Member humu sijui ID yake inaitwaje

Tena utakuta hao ndio Sukuma gang ambao hupenda kuona Chadema wakiteswa hata kufurahia shambulizi la Lissu.

Anyway wamkatie rufaa.
Isije ikawa ni Jitombashisho!!! Naona yupo kimya kabisa. Hatuioni michango yake humu.
 
Tatizo hapo ni tusi ama aliyetukanwa. Wewe kusema mwenzako anaongoza kwa upumbavu, kaandika utopolo, popoma kweli, Siyo kutukana? Na wewe ufungwe maisha?

Kwa nini unatamani huyo kijana ahasiwe. Kuhasiwa kunahusiana vipi na yeye kutukana? Kweli tusi ndio mtu afungwe maisha?

Kwani hapo katukanwa mwanamke gani? Samia,kairuki,Ummy,Ndalichako, au Ummy? Hebu twambie bwana wakili!
 
Anastahili hiyo adhabu, hawa ndio walikuwa chinja chinja kipindi cha Magufuli
Kuna raia wengi wema wenye kesi za kubambikizia ndio wasaidiwe sio haya masalia ya mwendazake
Una ushahidi na hizo pumba zako unazoongea? Mtu ahukumiwe kwa kosa aliliotenda asihukumiwe kwa hisia kama za kwako za kiuendawazimu
 
Salaam Wakuu,

Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu...
Huyu alitakiwa ahukumiwe miaka hata 20 ,hiyo 15 haitoshi kabisa..

Wahusika muwe mnapitia humu jukwaani hasa jukwaa la Kenya Uzi wa Nairobi vs Dar kuna watu wanamkashifh Rais kule.
 
Back
Top Bottom