Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Kumbe alikashifu muungano? CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote. Hauguswi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale mawakili wasomi tunaomba wakamkatie rufaa huyu kijana.
Kwenye issue nyeti tusiangalie chama.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu Pascal Mayalla naomba jicho lako la Sheria. Asante
Ilitakiwa afungwe maisha huyoSalaam Wakuu,
Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu...
Wao ndo watu wa Sheria. Wataalam.Tls na kibatala wanahusikaje hapo.....acha mawenge
Nasikia ni Member humu sijui ID yake inaitwajeWale mawakili wasomi tunaomba wakamkatie rufaa huyu kijana.
Kwenye issue nyeti tusiangalie chama.
Sheria haipo hivyo. Unakumbuka yule bwana aliyeshinda kesi kwa kosa la kumsema vibaya Magufuli? Alimwandika JPM. Na mahakama kuu ikaridhika kuwa JPM hajulikani ni nani. Ndiyo maana ya kusema kuwepo na ushahidi usiotia shaka ya aina yoyote.Unataka mpaka kuwe na name calling ndio uone kosa?
Hapo ipo wazi alikuwa akimwongelea mh rais Mia!!!
Kuwa mkweli bwana.
Isije ikawa ni Jitombashisho!!! Naona yupo kimya kabisa. Hatuioni michango yake humu.Nasikia ni Member humu sijui ID yake inaitwaje
Tena utakuta hao ndio Sukuma gang ambao hupenda kuona Chadema wakiteswa hata kufurahia shambulizi la Lissu.
Anyway wamkatie rufaa.
Tatizo hapo ni tusi ama aliyetukanwa. Wewe kusema mwenzako anaongoza kwa upumbavu, kaandika utopolo, popoma kweli, Siyo kutukana? Na wewe ufungwe maisha?
Kwa nini unatamani huyo kijana ahasiwe. Kuhasiwa kunahusiana vipi na yeye kutukana? Kweli tusi ndio mtu afungwe maisha?
Amesema taifa limekuwa kama lina wanawake wote, kwa hiyo anamzungumzia kiongozi wa taifa.
Una ushahidi na hizo pumba zako unazoongea? Mtu ahukumiwe kwa kosa aliliotenda asihukumiwe kwa hisia kama za kwako za kiuendawazimuAnastahili hiyo adhabu, hawa ndio walikuwa chinja chinja kipindi cha Magufuli
Kuna raia wengi wema wenye kesi za kubambikizia ndio wasaidiwe sio haya masalia ya mwendazake
Huyu alitakiwa ahukumiwe miaka hata 20 ,hiyo 15 haitoshi kabisa..Salaam Wakuu,
Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu...
Jitombashisho unamaanisha nini?Isije ikawa ni Jitombashisho!!! Naona yupo kimya kabisa. Hatuioni michango yake humu.
Hiyo ni ID ya mtu humu jfJitombashisho unamaanisha nini?