Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

nenda zako uko, unawatetea wenzako eeh
 
Wewe ilibidi kwanza mkeo akiwa mjamzito apasuliwe tumbo na hao kuluna, then kitoto kunyofolewa huko, then uje ukomenti
 
Tanzania hapa Kuna Marais eti wanaogopa Kusini sheria hiyo matokeo yake wanazidi kulea uovu.
 
Ilitakiwa wakatwe vichwa hadharani..
Ila nasikia ni geresha tu bado hawajanyongwa
 
1. Wamebaka
2. Wamechana wajawazito mitaani na vitoto vinavyotolewa tumboni vinatupwa huko
3. Wameuwa
4.Wametia watu vilema
5. Wameiba mali mbalimbali
Mimi nafikiri watu wasiojulikana wanataka wawe wanateka na kupoteza wahalifu kama hawa, na siyo akina Maria Sarungi.
 
Acha uongo wewe haijatekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…