Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

Narudia, hapo kwenye haya;

1. Taarifa za uhakika

2. Nafikiri

kunaondoa maana nzima ya post yako. Hii ni kwasababu;

1. Hujaweka source ya hizo taarifa za uhakika

2. Inawezekana unachofikiri hakipo hivyo unavyofikiri wewe. This is just your opinion na hakuna kitu kinachotuonyesha kwamba ndo uhalisia.
 
Taarifa hizo nimezipata kutoka kwa Wahusika waliopo huko ambao baadhi yao wanashirikiana moja kwa moja na Mawakili wa Utetezi wanaowatetea familia za Waathirika wa mkasa huu. Aidha, Amnesty International kwa hivi Sasa wameamua kuingilia kati moja kwa moja na suala hili huko Zaire.

Aidha, siyo kila source ya taarifa inafaa kuwa disclosed kila mahali. No.

Kwa hiyo kabla ya kuchangia chochote kile humu mtandaoni jaribu kwanza kufanya utafiti wako kidogo
 
We unajua matukio ya UK na US vizuri kweli? Kuluna wanaweza kusubiri...... UAE hakuna mambo hayo kwasababu ya adhabu kali... Saudi wanachinja kabisa watu kama hao.
 
Sasa wakiuliwa kimya kimya wanaobaki wataogopaje?
 
sitetei uharifu na uhuni wa hawa vijana huko DRC LAKINI adhabu ya kifo ishafutwa na badala yake kifungo maisha ni adhabu stahiki. Nchi itaona namna gani itawafanya hawa watu, ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa siri.
Ahaha mkuu hapana UKIUA nawewe TUNAKUUA ,hao jamaa walikuwa wakifanya uhalifu mchana kweupe kabisa.
 
Good analysis!
 
Nimewahusisha mimi au amewahusisha mleta mada?
Amesema Wadudu wa Arusha na Panya Road ni wahalifu, sasa nikamuuliza ni lini wadudu wa Arusha wamevamia na kuua?
Ngoja nirudi nione kwenye uzi kama kuna wadudu wa Arusha; nimeona panya road, hawa wanajulikana, hawana tofauti na hao chinja chinja wa Kinshasa
 
Wacha wengine waone ili iwe funzo.
 
Hapa kwetu kuna gang moja tu la kuuwa, CCM.
 
Ngoja nirudi nione kwenye uzi kama kuna wadudu wa Arusha; nimeona panya road, hawa wanajulikana, hawana tofauti na hao chinja chinja wq Kinshasa
Haujasoma uzi mkuu, umesoma heading ya uzi peke yake ukakimbilia kwenye maoni ya wadau
 
Hakuna unachojua kuhusu serikali za Africa
Hakuna cha mawakili wala nini
Hao vibakwa washabanikwa
Hizo zote ni daganya toto
Hao ukiwaona niite mbwa
 
Mie wazo langu ni kuwa kishekedi kampanga dogo ili apate mwanya wa kuua wale waliotaka kumpindua. Kwani wangewafunga maisha bado ingefaa.
Hs
Hapa Home Makala nae aliwafyeka panya Road kimya kimya mpaka sasa hawapo mtaani. Uzi wa Panya Road uliwahi jadiliwa humu.
Makala alisema usipomuona mwanao nenda mochwari. Wakongo wao wameua kwa mpigo bongo walifyekwa kimya kimya. Kenya napo walikuwepo mungiki walifyekwa kimya kimya. Zamani walikuwepo komando yoso walifyekwa kimya kmya.
Magufuli nae alifyeka majambazi kimya kimya.Wahuni wa Kibiti walifyekwa kimya kimya.
SIO JAMBO GENI KUFYEKA WAHUNI WA MTAANI.
Wahuni sio waatu wazuri, wanagasi masiki wenzao hawaendagi kuiba kwa matajiri.
 
Kwa Africa kufata utaratibu wa mahakama ni ngumu
 
umeandika vyema,ila cha msingi ni kuwa wafyekwe kimyakimya. Sio kama matangazo ya bucha.
 
umeandika vyema,ila cha msingi ni kuwa wafyekwe kimyakimya. Sio kama matangazo ya bucha.
Wanafanya hivo ili makundi mengine ya kiharifu yaogope na yakome uharifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…