Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Narudia, hapo kwenye haya;Jaribu kwanza kufanya Content Analysis juu ya hicho nilichoandika. Maelezo yangu yapo sahihi kabisa.
1. Kuna taarifa za uhakika:
Ni kweli kabisa kwamba kuna taarifa za uhakika kwa sababu Kesi za Kukata Rufaa zimewasilishwa na Mawakili wa baadhi ya hao vijana waliohukumiwa na tayari zimepokelewa na zimesajiliwa na Mahakama tayari kwa kusikilizwa.
Je, sasa hao vijana waliokata Rufaa watanyongwaje ikiwa Kesi zao za Rufaa bado hazijasikilizwa??
2. Nafikiri:
Ni sahihi kwa sababu Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa za kuwanyonga Watu waliohukumiwa na Mahakama wakati tayari Watu hao baadhi yao tayari wamekata Rufaa ili kupinga Hukumu hiyo ya kuwanyonga.
1. Taarifa za uhakika
2. Nafikiri
kunaondoa maana nzima ya post yako. Hii ni kwasababu;
1. Hujaweka source ya hizo taarifa za uhakika
2. Inawezekana unachofikiri hakipo hivyo unavyofikiri wewe. This is just your opinion na hakuna kitu kinachotuonyesha kwamba ndo uhalisia.