Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.Mimi niliguswa nilikuwa nagombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha walimu Tanzania katika moja ya wilaya hapa Tanzania. Nilichokutana na nacho ni aibu kidogo tu yanikute ya mdude. Kama nisingetumia akili yangelinikuta ya mdude.
siku zote tunakosoa watu wazima hata baba zetu bila kusita,ila ukosoaji huo ukiishakosa staha.unakosa uhalali.Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.
yaani vijana huwa wanalewa kilevi gani sijui ukimsikiliza au kuona post alizokuwaga anazitoa kwa kweli mdude anamakosa sana waliokuwa wanampampu azidi kuongea wako mtaani anahangaika pekeyake jela anaenda mhusika wapambe wanakaa nyumbaniKwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.
kwakweli na atakuwa amejifunza muda aliokaa huko kama ana akili akitoka atuliesiku zote tunakosoa watu wazima hata baba zetu bila kusita,ila ukosoaji huo ukiishakosa staha.unakosa uhalali.
huyu jamaa nina uhakika hata akili zake zina shida sehemu.
Kwani tuhuma zake ni kushabikia Chadema au ni madawa ya kulevya ?LEO NDIYO HAMTAAMINI MDUDE ANAKULA MVUA ZA KUTOSHA ILI IQWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOSHABIKIA SIASA ZA MAJI TAKA ZA CHADEMA KUSHANGILIA MAOVU HALAFU WANAKUACHA PEKEYAKO
KUSHABIKIA CHADEMA KWA MATUSI NA MADAWA YA KULEVYAKwani tuhuma zake ni kushabikia Chadema au ni madawa ya kulevya ?