Xhakaa
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 338
- 270
Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.Mimi niliguswa nilikuwa nagombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha walimu Tanzania katika moja ya wilaya hapa Tanzania. Nilichokutana na nacho ni aibu kidogo tu yanikute ya mdude. Kama nisingetumia akili yangelinikuta ya mdude.