Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

Mimi niliguswa nilikuwa nagombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha walimu Tanzania katika moja ya wilaya hapa Tanzania. Nilichokutana na nacho ni aibu kidogo tu yanikute ya mdude. Kama nisingetumia akili yangelinikuta ya mdude.
Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.
 
Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.
siku zote tunakosoa watu wazima hata baba zetu bila kusita,ila ukosoaji huo ukiishakosa staha.unakosa uhalali.

huyu jamaa nina uhakika hata akili zake zina shida sehemu.
 
Kwaiyo kilichomponza mdude nikutotumia akili? Ila mdude alikua roporopo sana jamani.
yaani vijana huwa wanalewa kilevi gani sijui ukimsikiliza au kuona post alizokuwaga anazitoa kwa kweli mdude anamakosa sana waliokuwa wanampampu azidi kuongea wako mtaani anahangaika pekeyake jela anaenda mhusika wapambe wanakaa nyumbani
 
siku zote tunakosoa watu wazima hata baba zetu bila kusita,ila ukosoaji huo ukiishakosa staha.unakosa uhalali.

huyu jamaa nina uhakika hata akili zake zina shida sehemu.
kwakweli na atakuwa amejifunza muda aliokaa huko kama ana akili akitoka atulie
 
LEO NDIYO HAMTAAMINI MDUDE ANAKULA MVUA ZA KUTOSHA ILI IQWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOSHABIKIA SIASA ZA MAJI TAKA ZA CHADEMA KUSHANGILIA MAOVU HALAFU WANAKUACHA PEKEYAKO
Kwani tuhuma zake ni kushabikia Chadema au ni madawa ya kulevya ?
 
Back
Top Bottom