Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Unakera na hii comment yako, kwani ukipost mara Moja watu hawataona? Acha ujinga... unajua ikoje? Iko hivi, ugaidi wa Mbowe ni kutaka kuwadhuru "viongozi" wa serkali; na kiongozi wa serikali anayetajwa kutaka kudhuriwa na "gaidi" Mbowe ni Ole Sabaya ambaye mahakama leo imeuthibitishia ulimwengu kwamba ni JAMBAZI LILILOKUBUHU na limekatiwa miaka 30 jela!
Sasa najiuliza, ugaidi wa Mbowe ulikuwa kulifanyia ugaidi jambazi tena jambazi lililotumia zana za moto? Jambazi lililojificha kwenye mwamvuli wa ukuu wa wilaya aka DC? Mbowe sio gaidi!