Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

hapo wote ni majambazi na walivunja sheria, hukuiona hiyo you coconut head
... umeanza kukubali Sabaya ni jambazi sio? Siku yaja utakubali tena kwa hiari yako Mbowe sio gaidi! Halafu usilete frustration zako humu wewe mpuuzi!
 
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.

Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.

Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
Beware with the offence of contempt of the court for interfering independence of judiciary.
 
Hivi kesi ya Mbowe siiwahishwe? tar. 19 mbali bana!!! Kama vipi irudiwe ilivutia kufatilia ujinga wa wale fulishi!! Naona mpaka wanataka kuibadili PGO maana iliwadhalilisha mbayambovu...
 
Kwani Mbowe asifungwe yeye nani haswa kwenye nchi hii, kama amefungwa Sabaya kutokana na Ushahidi basi hata Mbowe kama kuna ushahidi lazima achezee mvua za kutosha.
Sheria ni msumeno, tusione haki kufungwa Sabaya tu pia ikitokea Mbowe naye kafungwa kutokana na ushahidi basi tufahamu pia hiyo ni haki.
tuviache vyombo vyetu vya sheria vifanye kazi zake.
Wewe jamaa mnazi, yaani pamoja na kujiumauma kusko na akili kwa mashahid wa govenmentali bado Mbowe anakesi ya kujibu. Kivip yaani?
 
Back
Top Bottom