Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.
Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.
Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
Shule za Kata zinazalisha wajinga wengi ikiwemo wewe.