Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

Unakera na hii comment yako, kwani ukipost mara Moja watu hawataona? Acha ujinga
 
Mme wewe subiri. Tumuombee sana.Mama Samia anaufuta upinzani kwa aina yake. Maana JPM aliwaibia kura. Sasa Samia atawajaza magereza.
Ni wangapi aliowajaza magerezani tangu aingie madarakani?
 
Dunia nzima inajua Mbowe sio gaidi hata ccm wenyewe wanafahamu mbowe sio gaidi
 
Alipoingia mahabusu mara ya kwanza mlikuja na shombo kama hizi, anamaliza siku 90 Sasa na maisha huku nje yanasonga poa tu! Endeleeni na shombo zenu
 
Acheni uoga na assumptions za kawaida, Subiri mahakama ifanye kazi yake
 
Mme wewe subiri. Tumuombee sana.Mama Samia anaufuta upinzani kwa aina yake. Maana JPM aliwaibia kura. Sasa Samia atawajaza magereza.
Japo kesi ya msingi haijaanza kusikilizwa, lakini mpaka hatua hii ambayo ndiyo ya muhimu sana, upande wa mashitaka kwa kutumia ushahidi walio nao, umeshindwa kufunua makosa ya Mbowe kupitia mshitakiwa wa kwanza tu....

Ni siasa, siasa, siasa chafu tu za ki CCM mpaka mahakamani....!
 
Kesi ya mbowe hakuna kitu. Kifupi ni madai ya kubumba kabisa yasiyo na ushahidi wa kutosha.
Huwa nashangaa kipindi kile IGP anasema watu watajua maovu ya mbowe ndio alimaanisha hizi ngonjera?
 
Kwani Mbowe asifungwe yeye nani haswa kwenye nchi hii, kama amefungwa Sabaya kutokana na Ushahidi basi hata Mbowe kama kuna ushahidi lazima achezee mvua za kutosha.
Sheria ni msumeno, tusione haki kufungwa Sabaya tu pia ikitokea Mbowe naye kafungwa kutokana na ushahidi basi tufahamu pia hiyo ni haki.
tuviache vyombo vyetu vya sheria vifanye kazi zake.
 
Mbowe hawezi kufungwa,hana kesi na siyo gaidi amini usiamini.
 
Mbowe hatafungwa... Mark my words!
 
Unakera na hii comment yako, kwani ukipost mara Moja watu hawataona? Acha ujinga
... usinipangie cha ku-post humu! JF ingekuwa mali yako wengine tusingekuwa na haki kabisa humu!
 
La muhimu ni uwepo wa ushaidi usiotia shaka na unaothibitisha makosa ya mshtakiwa + uendeshaji kesi na utoaji hukumu wenye kuzingatia sheria na haki.
 
Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Maskini, unatia huruma! Andaeni mchango wa kuwalipa mawakili ili wamsaidie kukata rufaa! Naahidi shilingi milioni moja kwenye hilo! Hakuna siku Mbowe atafungwa Kwa kesi Ile! Mlizugwa mkazugika. Endelea kuomboleza ndugu kinu Cha kutwangia kisamvu!
 
kujichukulia sheria mkononi ni
Kosa. Usimpige jambazi mpeleke polisi
 
Kufungwa kwa Sabaya ambaye ni shahidi muhimu sana kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni dalili za kuachiwa Mbowe kama siyo kushinda kesi ambayo ushahidi unaoneka ni wa kubumba hata kabla ya kusikilizwa....
 
This is Most boring, seems to be a technical, and of a little import to the general public

Ni nani ambaye amepokonywa haki hapa kama sio Wananchi wa Tanzania...,

Tunataka mtu asijilimbikizie Mali kwa vile tu ana watu na namna ya kuwageuzia wengine kibao wakateswa na Mamlaka pale anapoguswa.

Wengine wanadai Mabilioni eti waliaibishwa!!

Kwa hiyo Mfano Shangazi au Mjomba wakipata hayo Mabilioni Heshima ipi wataipata?
 
Mwenyewe naona kabisa Mbowe anaenda kufungwa kuhuni!!
Hakuna kitu hicho. Mnamuangalia kwa woga Samia ila muelewe kuwa Samia ni mtu anayeamini ipo siku ataulizwa kwa aliyoyafanya katika uongozi wake. Hatamuonea mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…