Unarudia kitu kile kile; kudhani wewe ndio uko sahihi wengine ni wajinga. Sihitaji ushauri wako wa nini cha kupost au kuanzisha humu. Ningekuwa nimekiuka taratibu wenye jf wangeshanichukulia hatua. Tafadhali acha kiherehere.Ni kweli, ujinga unaofanya wa kupost the same comment kwa kurudiarudia usingevumiliwa! Ianzishie thread basi
Kwa mahakama za kibongo inawezekana kabisa kutoa hukumu kwa kubalance pande mbili!! Kinadharia mahakama iko huru lakini kiuhalisia haiko huru!! Kuna mhimili uliojichimbia zaidi!! Hakimu ukijifanya jeuri utakula jeuri yako!! Huo ndio ukweli tusioupenda wote! Tungependa isiwe hivyo lakini ndivyo ilivyo!Mahakama haihukumu watu kwa ku balance kesi mbili zilizo tofauti kabisa.
Safari ya Democrasia bado. Kama Katiba na Sheria ziko wazi kuhusu mikutano ya kisiasa lkn Serikali imehalamisha NI vigumu Sana kuamini katika haki kwenye vitu vya msingi.Mfumo wa dhulma unakwisha sasa.
Mbowe hatofungwa mana mashahidi upande wa serikali wameonekana walikua na nia ovu tu ya kutaka kumkomesha Mbowe kisiasa .
Majaji wanaojielewa dunia nzima hua hawapindishi haki.
Awamu ya mama samia Majaji wanaifurahiya mana inawapa nafasi kubwa ya kwenda Peponi.
Jaji ukivunja haki ya mtu ni dhambi kubwa sana kwa Mungu.
Awamu ya tano ilipotosha haki kila mahali.
Majaji walikua na wakati mgumu sana kusimamia haki.
Kuna Jaji alitoa hukumu ya ajabu kesi ya kikatiba yenye ushahidi kabisa kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.
Jaji anasimama badala ya Mungu kuhukumu wanadamu humu duniani?
Hivyo Jaji hapaswi kutoka nje ya haki inayotokana sheria na ushahidi unaotolewa.
Mbowe sio Gaidi na hakuna ushahidi uliotolewa unaomuunganisha mbowe na kitendo chochote cha ugaidi hapa Tanzania na dunia nzima.
Na ikitokea Mbowe akafungwa kwa kuonewa ili kuwafurahisha wanadamu hasa wale wala rushwa waliombambikiza kesi basi ujue kuwa bado kitambo kidogo kikombe cha hasira ya Mungu kitajaa kwa taifa hili.
Hakuna nchi inayoombaga mabalaa lakini yanatokeaga tu kama kimbunga.
CCM kwa sasa haina nguvu ya ushawishi pamoja na kukalia vyombo vya dola na mapesa na kila aina ya rasilimali. Hivyo wakubali tu kuwa mbinu aliyotumia Sabaya na waliomtuma ilikua mbinu Mbaya na ovu sana ,haifai kabisa kutumika kwenye siasa ndani ya nchi moja.
CCM mjipange tu kushindana kwa haki bila dhulma na kuua watu. Sabaya alikisaidia Chama lakini sio madhumuni ya CCM hayo kama chama cha siasa.
Huenda Aliyemtuma Sabaya alikua na chuki na watu wa kabila Fulani lakini sio madhumumi ya Chama hayo.
Huenda wakati huo walipanga watu wa mrengo Fulani kuanzia kwenye vyombo vya dola ili kuwakomesha wapinzani lakini sio madhumuni ya nchi yetu kuingia kwenye demokrasia ya vyama vingi.
Mama Samia naamini kuwa anamuogopa Mwenyezi Mungu na anailinda katiba ya nchi.
Mana kwa nchi yetu ukitoka Mungu anayefuata ni Rais . Kwa hiyo Rais asiposimamia haki basi anajifanya kuwa mungu yeye. Akiwafumbia macho majaji wanaopotosha haki basi Mungu naye atamkataa.
Haki itatendeka kwa Mbowe kama ushahidi ulivyojieleza wenyewe.Mbowe sio gaidi.
Waliombambikiza kesi watapata fundisho kuwa wafuate utaratibu wakati wa kutekeleza majukumu.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
kujichukulia sheria mkononi ni
Kosa. Usimpige jambazi mpeleke polisi
Ulichokosa kujua ni alikua ana Kula njama (hakutenda)... Inatakiwa uwe na Akili kidogoHizi ni kesi mbili zisizo na uhusiano wowote, hadi sasa hatujasikia ni matukio yapi na yapi yaliyofanywa na Mbowe na kwa ushahidi upi...
Kesi bado mbichi sana
Kadanganye hukoKwa mahakama za kibongo inawezekana kabisa kutoa hukumu kwa kubalance pande mbili!! Kinadharia mahakama iko huru lakini kiuhalisia haiko huru!! Kuna mhimili uliojichimbia zaidi!! Hakimu ukijifanya jeuri utakula jeuri yako!! Huo ndio ukweli tusioupenda wote! Tungependa isiwe hivyo lakini ndivyo ilivyo!
Ulichokosa kujua ni alikua ana Kula njama (hakutenda)... Inatakiwa uwe na Akili kidogo
Kunywa pepsi max au mo xtra kabisa mkuuMfumo wa dhulma unakwisha sasa.
Mbowe hatofungwa mana mashahidi upande wa serikali wameonekana walikua na nia ovu tu ya kutaka kumkomesha Mbowe kisiasa .
Majaji wanaojielewa dunia nzima hua hawapindishi haki.
Awamu ya mama samia Majaji wanaifurahiya mana inawapa nafasi kubwa ya kwenda Peponi.
Jaji ukivunja haki ya mtu ni dhambi kubwa sana kwa Mungu.
Awamu ya tano ilipotosha haki kila mahali.
Majaji walikua na wakati mgumu sana kusimamia haki.
Kuna Jaji alitoa hukumu ya ajabu kesi ya kikatiba yenye ushahidi kabisa kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.
Jaji anasimama badala ya Mungu kuhukumu wanadamu humu duniani?
Hivyo Jaji hapaswi kutoka nje ya haki inayotokana sheria na ushahidi unaotolewa.
Mbowe sio Gaidi na hakuna ushahidi uliotolewa unaomuunganisha mbowe na kitendo chochote cha ugaidi hapa Tanzania na dunia nzima.
Na ikitokea Mbowe akafungwa kwa kuonewa ili kuwafurahisha wanadamu hasa wale wala rushwa waliombambikiza kesi basi ujue kuwa bado kitambo kidogo kikombe cha hasira ya Mungu kitajaa kwa taifa hili.
Hakuna nchi inayoombaga mabalaa lakini yanatokeaga tu kama kimbunga.
CCM kwa sasa haina nguvu ya ushawishi pamoja na kukalia vyombo vya dola na mapesa na kila aina ya rasilimali. Hivyo wakubali tu kuwa mbinu aliyotumia Sabaya na waliomtuma ilikua mbinu Mbaya na ovu sana ,haifai kabisa kutumika kwenye siasa ndani ya nchi moja.
CCM mjipange tu kushindana kwa haki bila dhulma na kuua watu. Sabaya alikisaidia Chama lakini sio madhumuni ya CCM hayo kama chama cha siasa.
Huenda Aliyemtuma Sabaya alikua na chuki na watu wa kabila Fulani lakini sio madhumumi ya Chama hayo.
Huenda wakati huo walipanga watu wa mrengo Fulani kuanzia kwenye vyombo vya dola ili kuwakomesha wapinzani lakini sio madhumuni ya nchi yetu kuingia kwenye demokrasia ya vyama vingi.
Mama Samia naamini kuwa anamuogopa Mwenyezi Mungu na anailinda katiba ya nchi.
Mana kwa nchi yetu ukitoka Mungu anayefuata ni Rais . Kwa hiyo Rais asiposimamia haki basi anajifanya kuwa mungu yeye. Akiwafumbia macho majaji wanaopotosha haki basi Mungu naye atamkataa.
Haki itatendeka kwa Mbowe kama ushahidi ulivyojieleza wenyewe.Mbowe sio gaidi.
Waliombambikiza kesi watapata fundisho kuwa wafuate utaratibu wakati wa kutekeleza majukumu.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Kinachofanyika ni kuamuru ushahidi urudiwe tena na ikiwezekana ile case kubwa kuendelea itaenda kufukua vitu vigumu. Usalama wa Jeshi la Polisi katika kesi hii upo katika hali ngumu sana, hasa kwa watendaji wote walioshiriki kutengeneza kesi hii. Yote kwa yote ni kesi ngumu sana GPO.mbowe ataachiwa huru,
hii ni kwa mujibu wa mwenendo wa ushahidi unaotolewa na upande wa jamhuri
labda hali ikibadilika.
Ulifwatilia vizuri kesi ya Mbowe uliwahi kumsikia judge akiwahoji wale mashahidi wa jamhuri?!!..Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
hapo wote ni majambazi na walivunja sheria, hukuiona hiyo you coconut head... unajua ikoje? Iko hivi, ugaidi wa Mbowe ni kutaka kuwadhuru "viongozi" wa serkali; na kiongozi wa serikali anayetajwa kutaka kudhuriwa na "gaidi" Mbowe ni Ole Sabaya ambaye mahakama leo imeuthibitishia ulimwengu kwamba ni JAMBAZI LILILOKUBUHU na limekatiwa miaka 30 jela!
Sasa najiuliza, ugaidi wa Mbowe ulikuwa kulifanyia ugaidi jambazi tena jambazi lililotumia zana za moto? Jambazi lililojificha kwenye mwamvuli wa ukuu wa wilaya aka DC? Mbowe sio gaidi!
Mi hata sijui chochote ndugu. Tuhuma za sabaya na mbowe sijui kama ni kweli au si kweli. Nawaachia wana siasa mambo yao watajua wenyeweNi lini Mbowe alimpiga jambazi sugu Sabaya? Makomandoo ni kwa ajili ya kujilinda [VIP protection] na sio kuvamia jambazi.
Hukumu ya Sabaya ni ushahidi tosha wa kwanini Mbowe alihitaji ulinzi madhubuti.
thank you, sijui kwa nini hawa nazichadema hawataki kujiongeza angalau wawe dafuMbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
Siamini maneno yako.Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.