Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hawa watu hata wakihukumiwa kifungo hawaendi jela. Jambo moja ambalo Watanzania hawajui ni kwamba kuna watu wanahukumiwa kwenda jela lakini hawapelekwi jela. Nani amewahi kufuatilia kama mtu aliehukumiwa kwenda jela kweli yupo gereza fulani?

Kuna baadhi ya wahukumiwa wenye connection na CCM na serikali, wakihukumiwa wanaambiwa wabadili majina waende kuishi mahali wakiwa wameficha utambulisho wao hadi kifungo chao kiishe. Unahukumiwa kama Mudy Ramadhani hapa Dar, unaambiwa nenda Kibondo kaishi kama Kalumanzila hadi kifungo chako kiishe, usiwasiliane na watu wanaokufahamu!
 
Mhusika nae hakuwatambua?
 
Duh hii mpyaa aisee
Napitatu
 
Kuna Ukweli kuhusu suala hili.
Niishie tu hapa, sitaki kueleza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…