Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nlichotaka Kuandika,ila pia tusipende kuwalinganisha tuwape moyo na motisha,its not healthy kuwalinganisha bana
Mimi ni Humble tuKuna vitu vingi sana mnaweza kumnyang'anya bold Lakini hamuwezi kuondoa ukweli kwamba bold ni miongoni mwa waandishi wazuri kuwahi kuandika hapa JF.
Unajua wazungu huwa wanaamini kwamba bahati inatokea pindi maandalizi yanapokutana na nafasi yaani "lucky happens when preparation meets opportunity" hivyo bahati tafsiri yake ni maandalizi sahihi yanapokutana na fursa... Sasa bold ili bahati yake ikamilike ni sharti akutane na nafasi sahihi maana kama ni maandalizi anayo ya kutosha sana...!
Bold ana mshumaa ila anauwashia chini ya Meza... Ila siku akijipekecha kimkakati na kuwafikia watu wake wengi anaweza kupunguza ukali wa maisha kwa kalamu yake kama Shigongo vile.
Declaration Mimi ni casual and amateur writer tu ila bold anaqualify kuwa professional and rhetoric writer.
Hivyo, habib B. Anga ni mwandishi mzuri kuliko Mimi humble African.
[emoji176]
Saluteeee!!!Kuna vitu vingi sana mnaweza kumnyang'anya bold Lakini hamuwezi kuondoa ukweli kwamba bold ni miongoni mwa waandishi wazuri kuwahi kuandika hapa JF.
Unajua wazungu huwa wanaamini kwamba bahati inatokea pindi maandalizi yanapokutana na nafasi yaani "lucky happens when preparation meets opportunity" hivyo bahati tafsiri yake ni maandalizi sahihi yanapokutana na fursa... Sasa bold ili bahati yake ikamilike ni sharti akutane na nafasi sahihi maana kama ni maandalizi anayo ya kutosha sana...!
Bold ana mshumaa ila anauwashia chini ya Meza... Ila siku akijipekecha kimkakati na kuwafikia watu wake wengi anaweza kupunguza ukali wa maisha kwa kalamu yake kama Shigongo vile.
Declaration Mimi ni casual and amateur writer tu ila bold anaqualify kuwa professional and rhetoric writer.
Hivyo, habib B. Anga ni mwandishi mzuri kuliko Mimi humble African.
[emoji176]
Shoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewaSaluteeee!!!
Ahahaha! Unajua kinachokufanya unielewe ni sababu ya ushkaji wangu na wewe... Maana vita yako huwa ni Vita yangu pia, nikikukuta unapigana kwenye keyboard mtandaoni huwa najoin kwanza battle then later ndio nauliza sababu ya ugomvi.Mimi ni Humble tu
Ndio maana nakukubali HKL unaitendea haki kwa kweriKuna vitu vingi sana mnaweza kumnyang'anya bold Lakini hamuwezi kuondoa ukweli kwamba bold ni miongoni mwa waandishi wazuri kuwahi kuandika hapa JF.
Unajua wazungu huwa wanaamini kwamba bahati inatokea pindi maandalizi yanapokutana na nafasi yaani "lucky happens when preparation meets opportunity" hivyo bahati tafsiri yake ni maandalizi sahihi yanapokutana na fursa... Sasa bold ili bahati yake ikamilike ni sharti akutane na nafasi sahihi maana kama ni maandalizi anayo ya kutosha sana...!
Bold ana mshumaa ila anauwashia chini ya Meza... Ila siku akijipekecha kimkakati na kuwafikia watu wake wengi anaweza kupunguza ukali wa maisha kwa kalamu yake kama Shigongo vile.
Declaration Mimi ni casual and amateur writer tu ila bold anaqualify kuwa professional and rhetoric writer.
Hivyo, habib B. Anga ni mwandishi mzuri kuliko Mimi humble African.
[emoji176]
AitheeeShoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewa
Nini sasa hutaki au unaona wivu?kama unapinga leta facts mezaniAitheee
Rafiki tuanze kutradeAmbae yuko forex ya TMT ndiyo mkali zaidi!
Hakuna sehem ambako nimesema sitakNini sasa hutaki au unaona wivu?kama unapinga leta facts mezani
Hapanaa sio hivyo tu huwa una andika yako flan hivi hunifanya nisome tu hata comment zako zinavutia ukiachana na utani na mambo mengine ya vita pia [emoji6]Ahahaha! Unajua kinachokufanya unielewe ni sababu ya ushkaji wangu na wewe... Maana vita yako huwa ni Vita yangu pia, nikikukuta unapigana kwenye keyboard mtandaoni huwa najoin kwanza battle then later ndio nauliza sababu ya ugomvi.
Mimi Mam Sabrina tu! [emoji7] [emoji119]
Unaweza kunielezea ile aiseeeulikuwa una maanisha nini?Hakuna sehem ambako nimesema sitak
Hii ni heshima kubwa sana kwangu kutoka kwako... Nimefurahi kusikia hivi.Hapanaa sio hivyo tu huwa una andika yako flan hivi hunifanya nisome tu hata comment zako zinavutia ukiachana na utani na mambo mengine ya vita pia [emoji6]
Nadhani nakukubali sana tu
[emoji16][emoji16][emoji16] naona unamchukua maelezo jamaa. You are one in a milion amu.Unaweza kunielezea ile aiseeeulikuwa una maanisha nini?
Kivumish katika lughaUnaweza kunielezea ile aiseeeulikuwa una maanisha nini?