Humble African vs The bold


Bora umekubali na umekua mkweli, The bold yuko juu zaidi.
 
Well said!

Kusema fulani anacopy bila kusema ancopy wapi ni unafki na inaprove vile mtu anaweza kua first class hater for no reason!

By the way, uandishi unahitaji research ambapo research ni lazima ihusishe literature review ili ujue waandishi wengine walisemaje kuhusu topic unayoiandikia!

Watanzania tunapenda mafanikio, ila tunawachukia waliofanikiwa!

Peace be upon you!
 
Peace be upon you too.
 
Shoga Humble African ujue ni full package pia,sijui kwa nini wadada wa jf hawamuoni,majibu yake yanaonyesha mtu wa utulivu anajielewa
Unamwita shoga ukimaanisha ni rafikiyo wa kike au unamaanisha anafanywa kinyume na maumbile? Kama unamwita kwa maana ya pili na huna uthibitisho na hilo nakuomba umwombe msamaha na ujiepushe kujichumia dhambi za bure au kujiongeleaha ili tu watu wakuone nawe mjanja.

Unaanzaje kutoa tuhuma za ajabu kwa mtu usiemfahamu, mfano atokee tu mtu from nowhere aanze kukuita lesbian utajisikiaje ndugu.
Acheni tabia za kuzungumzia watu mambo ya ajabu huo ni wivu tu.
 
Reactions: amu
Aiseee hili ni povu langu au? cc imfikie Raynavero Humble African
 
Hilo lako mama unless niwe nilikuelewa vibaya, maana kuna jamaa mwingine pale juu kamwita PUGI sijapenda mtu kupewa tuhuma zisizo na ukweli kisa tu watu wanamkubali
Haya
 
Kuna mtu mmoja anakuelezea tukio kwa style fulani ambayo itakufikirisha na kufanya ubongo wako uchangamke na kufanya kazi sawa sawa katika kuunganisha matukio ya kile anacho kielezea. Huyu ni Mkwe wangu The bold (Habib Anga).

Kuna mtu anakuelezea tukio kubwa na gumu kwa njia rahisi sana ambayo hata kilaza lazima aelewe, huku akiweka vionjo mbali mbali na lugha mchanganyiko inayovutia hadhira. Huyu ni mshkaji au comrade Humble African!

The bold ni mkongwe, na utaona maturity ya kutosha kwenye kazi zake. Humble African ni chipukizi, na utaona styles na vionjo vipya kabisa kwenye kazi zake na unaweza jikuta unasoma article yake moja mara tatu kwa udambwi dambwi unaokuwepo humo ndani!

Badala ya kuangalia who is the best, nashauri tujikite kwenye kusupport kazi zao na kujifunza kutokana na yale wanayoyaandika.

These guys are from different planets, we should stop comparing them. Let's enjoy their great and outstanding articles while we still can!
 
Kwa mwendo huu ngoja nami niwe mwandishi tu
 
Mimi naweza kuwatofautisha hivi..
H.A hua anaandika kile alichosoma na kukielewa.
The bold hua ni anatafsiri kile anachokisoma ndo maana ukigoogle moja ya post zake zimetofautiana kwa lugha tu pia mtunzi wa mahili wa simulizi.

Lakini heshimu sana mtu anayeandika chochote humu ni kazi ngumu ngumu mnoo hata kama anatafsiri sio lele mama.
The bold he is too kindly good and intelligence. HA he's too good
 
I concur with you broh..
Japo wanasema anacopy but ni ngumu mnoo, the Bold apewe heshima yake as the bold na humble as humble.
 
Kula like mkuu hata mimi niwewaza kuwasupport instead of comparing them
 
Sijawahi kuona wala kusoma machapisho ya humble afican, hivyo siwezi kuwalinganisha. Ila ya the bold nimesoma na niseme tu ni mwandishi mzuri sana na hachoshi kumsoma. Mwingine ninaemkubali ni Mentor.

Anyway, waandishi huwa wanatofautiana namna ya uwasilishaji kazi zao. Utofauti huo pia hufanya kazi zao zivute hadhira na kuwafanya wawe waandishi bora.
 
Mkuu umeghafirika, angalia amemquote nani, huyo aliyemquote ndo alimwita shoga akimjulisha umahiri wa jamaa kwenye uandishi.

Hope umeelewa na utamtaka radhi kwa maneno makali uliyoyatumia.

Good day.
 
Reactions: amu
Ni kweli ila, copy na wewe kwanza tuone.watu wengine muna wivu wakike!mwenye haki yake mpe acha maneno mengi,ila samahani mkuu.huwezi kuwa mwandishi nzuri bila kukopi ktk maandiko mengine.labda kama unaandika riwaya


Kaka naunga mkono hoja yako. Huwa napenda sana kusoma kuliko kuandika yaani kutoa maoni. Watu wengi hawajajua katika tabia mbaya ni kuoenda mtu fulani kumlinganisha na mtu mwingine. Hii sio tabia nzuri hata kidogo.

Lazima watu wafikie hatua kukubali utofauti wa watu na kukaa kimya. Hatari za kulinganishana hupelekea watu kuletea chuki,uhasama na kudhulumiana kimaandishi na watu wakasifia kitu kiushabiki,hili jambo baya sana.

Kuzidiana kupo na hakukwepeki ila kukingashana ni ujinga uliokomaa.

Chif kama unavyosema na hapa natilia mkazo kielimu au katika masuala ya kielimu kumkosoa mtu ni shughuli pevu yenye kutaka maarifa na umakini wa hali ya juu,ila kimtaa na kwa watu wasio jua kukosoa ni jambo rahisi sana,ila kizaa zaa huja pale ukimtak mtu huyo afanye kama anavyofanya huyo anae mkosoa mwisho mnaweza mkavunjiana heshima.

Cha msingi watu wavumiliana wasome wajifunze kama wameamua kujifunza na kuficha hisia zao hasi kwa mtu fulani,maisha yasonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…