Humble African vs The bold



Kaka upo sahihi kabisa na wewe ni mtu wa pili nakuunga mkono hoja.

Katika uandishi pia kuna kuchunga amana kama ilivyo kuchunga amana katika mambo mengine.

Uandishi umegawanyika. Kuna uandishi wa kubuni na kuna ule ambao ni kinyume chake uandishi huu wa pili ni uandishi wa kielimu uandishi wa ukweli,uadilifu na haki,uandishi huu unahitaji umakini sana na kuchunga kutokuwadhulumu watu haki zao.

Hakuna jipya sana katika uandishi hasa huu wa pili,ku nakili hakuepukiki sababu sisi tunasoma kwa wale walio tutangulia na sisis si wa mwanzo. Cha msingi unapo nakili jambo au kauli kutoka sehemu fulani,lazima itoe marejeo ya wapi ulipotoa maandishi au nukuu hiyo au hata kuashiria huku ndio kuchunga amana za watu.
 
Pamoja mkuu!
 
The Bold au Habib B. Anga ni Experienced writer, anajua vitu vingi kwa maana hiyo ni Mkongwe, Kwa sasa TheBold ni zaidi ya Humble African, tofauti kubwa ni Humble African ni Kipenzi cha wengi kwa kujamiiana kwake na watu, ila The Bold amekuwa kama Respected flani ivi so hana interaction kubwa na WanaJF tofauti na Humble..
 
yule mpuuzi hana akili kanikera kanimention kwenye maujinga yake kwanza muamala hata haujasoma Humble
Ndezi yule kusababisha hadi nimedisclose baadhi ya private information zangu za kibenki kule kwenye battle kwa vitu ambavyo sikupenda viende public kwa sababu ya mtu kama yeye asie na mbele wa nyuma. Mlala kwenye minara mkubwa yule... Nimemmind!

Yaani kasababisha hadi PM yangu ifurike warembo ambao hata sikuwahi kuwaona kwenye PM yangu. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
mbavu zangu mie
 
Aise hebu ngoja namie nije huko pm kumbe kumenoga eh
 
Wabongo hawana jema hata uwafanyie nini natabiri baada ya mwaka mmoja Humble African atachuja na staanza kulinganishwa na madogo wawili wanaoandika pumba jukwaa la intelligence akina Da Vinci na Bitoz
 
Ile kazi nipatie basi ya kujibu pm[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…