Polepole au Bwana Slow slow aache ujinga, enxi za mwenda zake is no more!!
Denmark siyo wajinga kama yeye kibaraka wa CCM na Mwendazake!!!
Denmark ni moja ya nchi muhimu sana katika maendeleo ya Watanzania na ni moja ya nchi za NORDIC Countries. Norway, Denmark na Sweden.
Hizi ni nchi zinazopenda MAENDELEO lakini pia zinapenda kuona HAKI, USAWA DEMOKRASIA NA UHURU ukitamalaki ndani ya nchi zinazonufaika na misaada ya nji hizo. Kwa sasa Tanzania inanuka kwa uonevu,uminyaji wa Demokrasia hasa UONEVU WA VYAMA VYA SIASA. Denmark wanajua kilichompata Tundu Lissu na sasa kinachoendelea kwa Mwenyekiti (T) CHADEMA. Sasa kama hawaridhiki na wanachotendewa wapinzani wana haki ya ku-quit na kustisha uhusiano wa Kibalozi na Tanzania?!!