Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Samia hafai kuwa Rais.Kwanza ni Rais wa bahati mbaya.Mama akija kushituka, itakuwa imekula kwake.
Mama anaaminishwa Mbowe na CHADEMA ndio maaduii wake, kumbe maadui wake wamo humo humo katika chama chake na serikali yake.