Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

Mkuu nchi zote zilizoendelea huwa wanachagua kimoja Kwanza ama maendeleo, au haki na hzo democracy, tulikuwa kwenye njia sahihi sa ivi tumehama hatujui tunaenda wapi, matumain nikuwa tutafika ama tumewahi au tumechelewa, anachofanya Hp Ni kutukumbusha tulipokuwa tulipo na tunapoenda...
 
Huu ni unafiki wa kiwango cha lami. Walipofungua ubalozi hawakuwa mabeberu ila walipoamua kuufunga. Jitegemeeni badala ya kulalamikalalamika hovyo kama machizi
 
Huwa sielewi, mmoja anasema anasikitika ubalozi kufungwa na mwingine anasema anayeondoka ni kwa sababu amekosa kufaidi sasa anaondoka. Ni kama mwingine anasema usiende na mwingine bora uende. Wengine ni beberu, wengine ni mdau muhimu wa maendeleo

Habari za bora jua ama mvua!! Katika dunia ya sasa sijui kufungwa kwa ubalozi kuna uzuri wowote!!

Tuna dalili za wazi kabisa za kutotambua hata tunataka au kukataa nini!!
 
Ndio kipenzi cha masalia mataga wa mwendazake
 
Ni kweli namkumbuka nikiwa Chuo polepole alituita mnazi MMOJA pale na haya ndo aliyosema..naamini Ana msimamo Sana huyu jamaa
Polepole ndio amekuwa mkufunzi mashuhuri wa vijana wetu! Astaghfirullah.
 
Polepole ni pyscho case, kichwani amejazwa ujinga
 
Hivi huyu huwa ni Kijana au Mzee??? Au huwa ni mgonjwa? Maana haeleweki
 
Tangu nipoteze imani alipofanya U-turn katika kupigania Katina Mpya inayotokana na maoni ya wananchi kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba na kuwekwa kwenye Rasimu ya Katikba Mpya (2013) sijaweza kuirudisha.
 
Halafu anasema Magufuli na Mama Samia kama vile Samia alikuwa anashirikishwa kwenye maamuzi, kwa Tanzania ukiwa Makamu sio Kaimu wewe ni picha tu
 
Halafu anasema Magufuli na Mama Samia kama vile Samia alikuwa anashirikishwa kwenye maamuzi, kwa Tanzania ukiwa Makamu sio Kaimu wewe ni picha tu
Kwahiyo makamu unamwita picha siyo? Kwanini basi Katiba inamtambua pale Rais anapofariki kama ilivyo tokea nchini kwetu?
Akili zako ni nyingi tatizo zimeondoa maarifa yako
 
Badala ya kuwabembeleza serikali ingewapa Denmark masaa 24 wawe wameshaondoka nchini!! Nina uhakika JPM wasingethubutu kumtishia nyau!!
 
Mama akija kushituka, itakuwa imekula kwake.

Mama anaaminishwa Mbowe na CHADEMA ndio maaduii wake, kumbe maadui wake wamo humo humo katika chama chake na serikali yake.
Mbowe ni adui wa taifa maana ugaidi hauchagui nani atakuwapo kwenye tukio
Kuna wana ccm na vyama vingine na wale wasiokua vyama.
 
Huyo ni Mjinga
Denmark hawana business interest kubwa ya kutwa Mabeberu Tanzania
Moja ya mipango yao ilikua ku assist development kwa nchi zilizopata uhuru
Tunaona Danida na mashirika mengine wakisaidia Tanzania hii ni sababu ya policy zao katika dunia

Kibaya ni nini sisi tunachukua misaada yao na kuitumia nje ya bajeti, pia rushwa pia kuwapa watu tender ambao hawajawahi kutoa misaada

Inafikirisha Denmark anakupa mabilioni wewe unachukua unaipa China ijenge Barabara kibaya zaidi inajengwa barabara chini ya kiwango si ni heri izo barabara tungejenga Makampuni yetu ya ndani kuliko kuchukua pesa za west kupeleka east kizembe zembe watu wenye akili finyu kama polepole ni hasara kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…