Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
-
- #21
hahahahaa Polepole yeye anataka viongozi wakuu wajitokeze tu wamjibu na sio masheikh, maaskofu au akina chalamila, yeye ana watu wake anaowataka.Pole Pole anakabia juu kabisa vegetables viungo na beki zimekatika kabisa wanashindwa kuzuia mashambulizi 🤣🤣🤣
Amewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Naomba link sipendi vipende vipande duhbado anasema, hajamaliza, sasa hivi anamlima Chalamila
Polepole kaamua kupambana na wahuni.Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Kwa hiyo ataunguruma Hadi lini?Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
hahaahahahahaa mna nyege mshindo nyie, Kada mwenzenu anawanyea usoniAmewapata wapumbavu wa kumfuatilia, nyumbu wa chadema. CaCM wamemkaushia kimyaaa!!
iko post ya kwanza kabisaNaomba link sipendi vipende vipande duh
Mpendwa wangu mbona hapo juu kwa mleta uzi kuna video? Maana ashamaliza kutema sumuNaomba link sipendi vipende vipande duh
Safari hii warltazaa zeru zeru mapachahahaahahahahaa mna nyege mshindo nyie, Kada mwenzenu anawanyea usoni
ingekuwa hivyo kusingekuwa na series maana tungechoka kuona wacha aendeleee kama umechoka kaa pembeni tuachie sieHuyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Kama umechoka tulia,hata vita huwa zinaanza na drone kabla ya kuvurumisha makombora ya kuangamiza,wahuni lazima wasambaratishwe safari hiiHuyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Unaongelea movie? Bc single movie nao wanapoteza Muda kuandaa filamu eee?ingekuwa hivyo kusingekuwa na series maana tungechoka kuona wacha aendeleee kama umechoka kaa pembeni tuachie sie
Nmeshawajibu wenzako khs hiliKama umechoka tulia,hata vita huwa zinaanza na drone kabla ya kuvurumisha makombora ya kuangamiza,wahuni lazima wasambaratishwe safari hii
Haya ndio mambo CDM wanashughulika nayo kwa sasa. Na Slowslow keshajua anao washamba wenzie wa kumfatiliaNajua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
Kuna mtabiri alitabiri hii tarehe.. Bado tarehe 8 na 28Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole....
View: https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
hayatoshi sasa kisa ni kirefu (series) wewe wataka iwe single movieUnaongelea movie? Bc single movie nao wanapoteza Muda kuandaa filamu eee?
Mm nachotaka n yeye anyooke ashushe yote Kwenye press moja, hapo hujaelewa nn boss