Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

Huwa nawashangaa Waislam wanaoishabikia ccm
Kiongozi wa CCM aliwapa jengo la TANESCO kuwa chuo kikuu chao mpaka leo

CCM imewaanzishiia BAKWATA, inawatunza Mufti na Masheikh wakuu wa mikoa wa BAKWATA kunzia na Sheikh wa DSM.

Serikali ya CCM inawatunzia na kumlinda Mufti wao Mkuu.

''Kwanini wasiishabikie CCM?''
 
Mheshimiwa Polepole akihubiri kuhusu mwisho wa Dunia na Kurudi Yesu mara ya pili.
Hahahaaaa Makonda naye alikuwa muhubiri mzuri wakati fulani.

Kwahiyo polepole anaamini bado miaka 20 anyakuliwe kwenda mawinguni kumlaki Bwana wetu Yesu Kristo.

Ajitahidi kutenda Haki miaka 22 iko jirani sana maana atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka!
 
Daaaa hii movement ya ukristo nyakakati hizi hakika tumeingiliwa!!!!

Studio wasafi wako
Masanja mkandamizaji
Pole pole propaganda wa ccm

Marejeo ya Bwana Yesu ambae yeye Yesu mwenyewe ajui atakuja lini lakini leo hii ndani ya studio ya wasafi chini ya uongozi wa mchekeshaji masanja mkandamizaji na mwanasisa amfrey pole pole ndio wamepata kujua Bwana Yesu atarejea lini!!!!!!![emoji30]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee amini huo ukristo wako
Na wewe uamini unachoamini, ila usiponde wanachoamini wengine, wakati kile unachokiamini na wanachoamini wengine, vyote ni Mambo ya wazungu.
 
Nadhani wanaopaswa kuwa na utindio wa ubongo ni wale wanaoshindwa kutofautisha kati ya vyenye faida na visivyo na faida.
Faida moja kuu ya dini, ni amani.

Mfano, dini inasema
1. Usiue
2. Usizini

Kwa hayo mawili, yasingekuwa yanafundishwa kama ni dhambi... Ngoja niishie hapa
 
Hahahaaaa......... Makonda naye alikuwa muhubiri mzuri wakati fulani.

Kwahiyo polepole anaamini bado miaka 20 anyakuliwe kwenda mawinguni kumlaki Bwana wetu Yesu Kristo.

Ajitahidi kutenda Haki miaka 22 iko jirani sana maana atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka!
Fanyia mzaha mambo ya siasa nakushauri. Ila usilogwe kufanya mzaha katika mambo ya imani katika Mungu mmoja muumba mbingu na nchi na vitu vyite vilivyomo katika jina ka Yesu.
 
Wapo ila mfumo wa ccm ni mfumo Kristo. Hata BAKWATA wapo ccm kimaslahi
Wasisi wa ccm na waislamu wamo pia na wote ndiyo waliounda mfumo huo. Sasa iweje waanze kuuchukia mfumo ambao wameshiriki kuunda?
 
Back
Top Bottom