Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054

My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa

2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa bold kufanya udhalimu huu, na angeusitisha
 
Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?

Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi.

Kuna wananchi mifugo yao imekamatwa na wamepigwa faini kwa kuchunga kwenye maeneo yasio sahihi.

Hawa hawakuwa na familia? Walipangiwa pa kwenda? Mliwatetea?

Why wamachinga wapewe haki ya kuvunja sheria?

Kwahiyo Kimara tumebomoa nyumba za watu kupisha wamachinga?

Kulikuwa na umuhimu gani kuvunja jengo la Tanesco kama leo hifadhi ya barabara ni eneo la biashara.
Tufuate utaratibu, hatuwezi kuwa watu wa holela holela tu.
 
Tena wewe pole pole ndo mlisababisha uvunjifu wa hii sheria ya road reserve kwa kuimba haya mapambio enzi za mwenda zake cheap popularity acha ujinga. Mnavuruga nchi kwa kigezo cha kupendwa mnageuza nchi kama dampo
 
Huyo Polepole sikio la kufa.

Mbaya zsidi inaelekea hajifunzi na matukio, kina Kinana na Makamba wako kimyaa!

Kaamua kuwa chama cha upinzani ndani ya CCM, jua litamchwea si muda mrefu.
 
Tena wamejitahidi sana maana hili siku zote nilikua naona ni bomu aliloliacha mwenda zake any tyme lingelipuka hawa kina Pole pole ndo wanataka kuharibu kazi nzuri iliyofanyika kwa kumuona kila mtu mjinga isipokua yeye.

Ashughulikiwe kama mwenzake gwajima. Ma elfu walivunjiwa nyumba morogoro road sasaivi wamejaa wamachinga hata kupita shida kulikua na maana gani kuvunjia watu nyumba sasa
 
Swala la Machinga kufanya kibiashara zao maeneo yasio rasmi kwao ni kosa kweli.

Ila swali linakuja Leo wamachinga wanatolewa hayo maeneo wanapewa maeneo mengine je ikitokea hayo maeneo yakakua nayo kibiashara matajiri wakubwa wakaenda wakafungua Biashara zao kule serikali itafanya nini sio kwamba itafanya kama inavyofanya leo?

Itawatoa tena hao machinga coz mi naamini hayo maeneo wanayouzia machinga leo 20 years nyuma hayakua na watu hivo ni wenyewe wameyafanya yawe hivo.
 
Mbona hazungumzii wanyonge waliovunjiwa nyumba na utawala wa awamu tano na wakaachwa kwenye baridi na jua bila ya kupelekwa kokote ili kujihifadhi.

Sembuse wamachinga ambao wanaelekezwa maeneo ya kwenda ili waendelee na biashara zao.

Polepole asichukue swala hili ili kujiimarisha kisiasa Alisha fanya ujinga wa kuinajisi katiba ya nchi hii.

Bora akae kimya tu kuliko jitihada hizi anazofanya za kutaka kuchonganisha serikali na wananchi.
 
Tena wamejitahidi sana maana hili siku zote nilikua naona ni bomu aliloliacha mwenda zake any tyme lingelipuka hawa kina Pole pole ndo wanataka kuharibu kazi nzuri iliyofanyika kwa kumuona kila mtu mjinga isipokua yeye. Ashughulikiwe kama mwenzake gwajima. Ma elfu walivunjiwa nyumba morogoro road sasaivi wamejaa wamachinga hata kupita shida kulikua na maana gani kuvunjia watu nyumba sasa
Wamachinga wameondolewa Kihuni.
 
Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?
Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi...
Akikujibu nitagg
 
View attachment 1986064

My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa...
Muulize Polepole ana maoni gani juu ya Watu waliovunjiwa nyumba zao Kimara kipindi cha Awamu ya Tano huku wengine wa Mwanza wakiambiwa wasivunjiwe kwa sababu walimpa kura mpuuzi mwenzake Magufuli?
 
Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?
Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi...
Unapingana na msimamo wa JPM kuwa wamachinga wasiguswe maana waliipigia kura ccm.
 
Mbona anapiga debe sana, zoezi hili binafsi limemwathiri kiasi Gani, au alikuwa na genge lake la chinga elfu ngapi, wakifanya kazi kwa niaba yake. Afunguke asizunguke zunguke na kurukaruka, kwani kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.
Huyo ni sukuma gang.
Sukuma gang wanasimamia msimamo wa mwendazake
 
Back
Top Bottom