Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Eeh! Maana usipojipanga unapangwa maana mama ashasema wapangwe maana yake hawakujipanga panaporuhusiwa.
Haswa
Na yeye bado haamini dunia inavyokwenda kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh! Maana usipojipanga unapangwa maana mama ashasema wapangwe maana yake hawakujipanga panaporuhusiwa.
Kama raisi hahusiki kuamrisha wamachinga waondolewe kwa njia zozote kutoka katikati ya miji angekuwa ameshajitokeza kusimamisha zoezi lote na kuwajibisha watu.
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa
2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa bold kufanya udhalimu huu, na angeusitisha
Nakuunga mkonoKama raisi hahusiki kuamrisha wamachinga waondolewe kwa njia zozote kutoka katikati ya miji angekuwa ameshajitokeza kusimamisha zoezi lote na kuwajibisha watu.
Mbona wamachinga walipokuwa wakifukuzwa kutoka manispaa ya Morogoro alisitisha zoezi husika na mkuu wa wilaya na mkurugenzi walitenguliwa?
Mkuu wa wilaya ya Temeke aliingilia kati na kumkemea mkurugenzi wake lakini mkuu wa mkoa yeye alikuwa anafanya yeye mwenye kusisitiza kuondolewa.
Mkuu wa mkoa wa DSM na Mwanza hawakutumia busara katika utekelezaji wa zoezi la kuhamisha machinga.