Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Tanzania hatuna ukanda wala ukabila, sasa yeye ni miongoni mwa wanaofaa kuhoji uraia wake. Tuhakikishe kama alizonazo ni tabia za kitanzaniaHuyo ni sukuma gang.
Sukuma gang wanasimamia msimamo wa mwendazake